Nani anafanya ugunduz bongo? Mwamposa au suguyeKule hata mfinyanga vyungu, mchonga mawe, mchoraji ni tajiri. Bongo kutwa nzima ni kuwekeana vikwazo tu, maendeleo yatatoka wapi? Unafunga mitandao wakati kuna watu wanafanya ugunduzi huko kuborerha kazi zao, hii akili ya wapi?
Hata ccm mpaka ujipendekeze sana kuna madogo na mafaza yameliwa tako kisa teuzi na uchawaKuna wizara ya ovyo sijui wizara ya vijana takataka tu.
Ni hapa tanzania tu ndio tunasema riziki ni mungu kumbe sio kweli wakati wenzetu wana mwajuma tena chupi kubwa.
Kwa wenzetu kipaji chako kiwe kwenye elimu,sanaa,akili,uwezo wowote we ni tajiri ukilinganisha na hapa kwetu yani profesa kawa chawa wa CCM.
Nikiona kama eleon musk, bill gates na wengine ambao hapa tuna mgunduzi wa JF ambaye tanzania imemuwekea VPN.
Hivi hii nchi wanataka kuwa na mtoto abdul tu.
Magu ndio kaua hadhi ya elimu Tanzania hiiprofesa kawa chawa wa CCM.
Kichekesho wanafunga, wanakataza raia na kuwatisha tukitumia VPN ni kosa! Kwao siyo kosa?! Yaani hawa ndorobo sijuwi hata Wana akili za namna gani! Uchumi wa blue au maendeleo utayapata vipi bila twitter, bila JamiiForums...Kule hata mfinyanga vyungu, mchonga mawe, mchoraji ni tajiri. Bongo kutwa nzima ni kuwekeana vikwazo tu, maendeleo yatatoka wapi? Unafunga mitandao wakati kuna watu wanafanya ugunduzi huko kuborerha kazi zao, hii akili ya wapi?