USA, mataifa mengi Ulaya na India ni miongoni mwa ambao ndege zao bado haziruhusiwi kuingia Kenya, natumai hawatalialia kama Watanzania


Dah kwa mara ya kwanza nimekutana bango la mtu anayetumia ubongo, aisei namuita Bishop Hiluka aje ajifunze kitu hapa.
 
Reactions: BAK

Duh naona umejishuha kama wenzako humu na kuanza mipasho, ila fahamu corona imebadilisha dunia, watu hawaishi au kuhusiana kwa mazoea tena, Marekani ana undugu sana na Uingereza ila kwa mara ya kwanza walifungiana, na haikua kwa mapenzi yao au chuki ila ni kwa hali ya kila mmoja kulinda afya ya watu wake.
Watu wamefungiana hata kwenye level ya miji na majimbo.
Hili ni tatizo la kisayansi na linakabiliwa kisayansi sio kwa kutegemea matamko ya wanasiasa halafu unataka ulazimishe na kung'ang'ania raia wako waingie kwenye mataifa ya watu bila kufuata taratibu wakati wewe umejichokea hufanyi chochote umetelekeza mbinu zote za kisayansi.
 
Nimekuja kugungua kwamba unalipwa ili kuichafua Tanzania mitandaoni hakuna point unayoandika zaidi ya maneno ya chuki, kujikweza, majigambo pamoja na majivuno unaendelea kutuonyesha jinsi wakenya walivyo wapenda sifa. Haya mnaweza yotee ila muache kulamba matapishi yenu mkitoa kauli isimamieni msiyumbishwe na maamizi yatakayo chukuliwa na upande wa pili kama mnavyo badili misimamo kila kulicha kwa kuchukua hatua za kukurupuka za viongozi mizigo kwa taifa lenu. Kama una akili utanielewa
 
Mimi nahisi hujaelewa nini hasa watz wanakikataa, kuzuia safari kutoka Tz kwaajili ya Hali yao ya Corona si issue, issue ni kwamba kwanini wao waombe kuendelea kufanya safari sehemu wanayo idhania si salama?hawaoni hao wasafiri watakaowaleta watawa expose kwenye hatari km wanavyoona kuwa Tz si safe?
Kwa kifupi tatizo la Kenya liko kimaslahi ya kibiashara zaidi.
 
Mimi hizi taarifa nimezisikia leo, kumbe kulikuwa na tit for tat na hatimaye kenya kasalimu amri.
kwa nini wakenya wameshindwa kuelewa watanzania miaka yote hii.

Hii sio southern Sudan.

Hii united republic jamani.
 
Mimi na wewe ni nani anayejishusha? Kutwa kucha upo JF kuongelea Tanzania, hata sijui kazi unafanya saa ngapi! Narudi tena: unachoshadadia wewe ni ushabiki wa Tz vs Ke tu na wala huna chochote...
 
Mwanangu una hangaika,unafungua threads kumi kumi,wakati nyie ndio mmeanza sisi tumewajibu alafu tumekaa kimya.

Kuanzia ww mpaka viongozi wenu wanapiga kelele SISI TUMEKAA KIMYA,sasa sijui nani ANATAPATAPA.
 
Hakun HakunA shida...tumeamua sisi ni nchi huru.
Hatuitaji mtu wa tatu kusimamia maamuzi yetu...
Maamuzi yenu ni yenu na maaamuzi yetu ni yetu na hata km mwingine akiamua iwe urusi china uingereza au kanada jibu ni moja ni wao wameamua
 
Kwani wamelazimishwa?kafunga na huyu kafunga maisha yaendelee...shida wanaotafsiri wanaleta maana any way kwani lazima umruhusu kila mtu kwa siku zote? Leo unaweza ukaruhusu wote kesho ukaamua yule hapana ...watu wanapoteza muda kujadili maamuzi ya TANZANIA.
Tushawai kufunga mpaka miaka saba sembuse ka anga tu...na hakuna alieweza kutulazimisha maamuzi yetu
 
MK254 Achaga Ujinga. Wako wapelekee ndugu zako kisumu. Soma kilicho andikwa chini

 
Jamaa mbona unateseka kwani lazima uje kwetu si ubaki kwenu HATUWATAKI ,HATUWATAKI
 
Wewe mpuuzi ndio unafanya jamii za kiafrika zinaonekana ni kama mifugo.

Unaelewa hata hoja ya watz wenzako ni kitu gani??au uliamua tu kulala na mafuriko??

Demu wako anaamua kublock number msiwasiliane maana anadai wewe ni malaya,nawewe ili kumsaidia unaamua kusajiri line nyingine ile unaitupa.then analaumu una mambo ya kitoto,sijui utamuelewaje!!!!!
 
We jamaaa pimbi nini sisi inahusuni nini sisi tumeamua kuwazuia kenya wasilete corona na sikingine izo zingune niwao wanajistukia sisi atujasema kwakuwa wao wamezui hapana ila tumezuia kwakua wao ni tishio kwa maambukizi afrika mashari usikaze ubongo
 
Huna Cha maana kwenye hoja zako...wewe ni mweupe..but arrogant, mjivuni na mwenye majivuno na majugambo..issue ni TZ na Kenya...mnataka ndege zenu zije TZ 'yenye corona'..hamuogopi kuambukizwa?! Stupid guys...
 
Mkuu akikujib nitag tafadhari
 
MK254 Achaga Ujinga. Wako wapelekee ndugu zako kisumu. Soma kilicho andikwa chini


Nimesema na narudia tena, naelewa kiwango cha elimu kwenu huwa hovyoo na huchukua kuda sana kuelewa chochote, Kenya imeweka kwenye orodha mataifa ambayo yanadhihirisha jitihada zao dhidi ya corona zinafua dafu, jiulize kwanini majimbo fulani ya Marekani, India, Uhispania, Sweden hawapo kwenye hiyo orodha, na kuna mataifa mengi tu bara uropa hayapo. Sasa nyie msiokua na jitihada zozote ila mnang'ang'ania kwa njaa zenu muingie kwenye mataifa ya watu.
 
Hatukatai kwanini katika orodha yote hiyo itajwe Tanzania pekee kulikoni? Mna ajenda gani?ilitosha kutaja nchi 11 mlizozirusuhu haya yote yasingefika hapa
 
Umegundua Leo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…