USA, mataifa mengi Ulaya na India ni miongoni mwa ambao ndege zao bado haziruhusiwi kuingia Kenya, natumai hawatalialia kama Watanzania

Kama sisi ambao tupo salama hatutakiwi.
Vipi nyie mnaokufa kama kuku wa mdondo?.
Uzuri data HAZIDANGANYI.

Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
 
Iv ww mitihan yako ulikuwa unajibu vp ? Ktk title ya uzi wako Umention USA haukutaja majimbo ... Ukitaja USA ... Unafahamu una maanisha nn ? Acha kula mirungi na bange ww
 

Ukweli inakuuma mpaka unamtukana mwenzako juu ameongea ukweli mtupu.
 
Achana na sisi wewe nyie endeleeeni na mambo yenu,sisi huo ugonjwa umepungua sana na wamekuja watu kutoka huko wameona hakuna.Hatuna wagonjwa hospitali unakomaa na TZ tuu.Nyie endeleeni kupimana tuu,huu ugonjwa tutaishi nao tuu.Tuna kiongozi shupavu sasa ambaye ababaishwi.Endeleeni na ishu zenu huko kwenu.
 
Hatukatai kwanini katika orodha yote hiyo itajwe Tanzania pekee kulikoni? Mna ajenda gani?ilitosha kutaja nchi 11 mlizozirusuhu haya yote yasingefika hapa

Uliona wapi Tanzania imetajwa?
 
Iv ww mitihan yako ulikuwa unajibu vp ? Ktk title ya uzi wako Umention USA haukutaja majimbo ... Ukitaja USA ... Unafahamu una maanisha nn ? Acha kula mirungi na bange ww

USA ilikua imezuiwa yote, leo ndio baadhi ya majimbo yamekubaliwa, mjifunze kufuata taarifa sio kubwatuka bila kujua kichwa kiko wapi au mkia.
 
We fala nn...umesikia nani.kafa huku...eti elimu ,mna elimu gani nyie malimbukeni fuata upepo.......sasa kama mnajiweza mmekimbilia nn kurekebisha taarifa yenu?,mngekaa kimya na nyie ndege zenu zisije kwetu kila mtu aendelee na maisha yale.....PUNGUZENI KUJIPENDEKEZA MTAOLEWA!
 
Mtanyooka tu nyinyi nyang'ao tumeshapiga ban KQ yenu!
 
Kwanini wazuie watz kwenda Kenya halafu walete ndege zao hapa!? Ni asshole pekee anaweza kuwa upande wa nyanga'o hao!
 
Hatujawai kulia asilani.tumewachapa kimya kimya daima Mara zote kelele hutokea kwa viongozi wa Kenya kuomba suluhu.watz tunafahamu Nini serikali ya JPM imefanya kupitia vilio ama kutoka kwa Kenyatta au mawaziri wake.ujeuri wetu dhidi yenu tunadhibitisha kuwa ninyi si muhimu kwetu daima liwe akili mwenu na kwa viongozi wenu.
 
Hehehe!!! ila huyo hapo ameonyesha matumaini bado kuna Watanzania wanaotumia ubongo....
Mmh, utakuwa una matatizo kwenye ubongo wako kwa kumshabikia mtu anayehamishia hasira zake kwa serikali baada ya kufukuzwa kazi kutokana na kubainika akitumia vyeti bandia. Kaazi kwelikweli!...
 
Sasa kama hawataki ndege zao zilikua zinafata nini?
 
We mama huwa unanifurahisha Sana πŸ˜‚ πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 

Tanzania hawajalia bali wameban ndege za KQ. Kama haina shida kwenu si mtulie? Anaelia ni Mkenya
 
Mmh, utakuwa una matatizo kwenye ubongo wako kwa kumshabikia mtu anayehamishia hasira zake kwa serikali baada ya kufukuzwa kazi kutokana na kubainika akitumia vyeti bandia. Kaazi kwelikweli!...

Hilo la kufukuzwa kazi ni mambo ya mtu binafsi na hayatuhusu humu, nimekushangaa kumbe uko hovyoo kiasi hicho, humu hatujadili matatizo binafsii ya watu, tunajadili udhaifu wenu kwenye kupambana na corona na kulialia mkilazimisha kuingia kwenye mataifa ya watu.
 
Pambaneni na hali zenu! KQ marufuku kuja bongo!
 

Hivi ninyi mngekuwa strong si mngekaa kimya? Washamba ninyi kazi kulialia tu! KQ bila Tanzania revenue yake ni mashaka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…