USA, mataifa mengi Ulaya na India ni miongoni mwa ambao ndege zao bado haziruhusiwi kuingia Kenya, natumai hawatalialia kama Watanzania

Mtu wa ovyo ni wewe unayeshadadia mambo yasiyokuhusu nadhani siku hizi huna kazi za kufanya. Wanaolialia ni ninyi Wakenya mliozuiwa kuleta vindege vyenu...
 
Nadhan unaelewa pia kuwa na KQ haitui huko. Kama ndege zao haziruhusiwi kutua kenya its obvioursly hata zenu haziruhusiwi kutua kwao. Ndivyo na sisi tulifanya. Wala sio tatizo. Tumewazuia mmeleta kulia lia. Kwan a kimyaa kungekuwa na tatizo gan.

Sent from my LG-K520 using JamiiForums mobile app
 
Tz tuko na problem
 
Usiwe unatetea ujinga ..mimi ni mtz ila kuna vitu tutumiage akili

Kama sisi tumeamua liwalo na liwe basi si kila nchi iko hivo
 
Usiwe unatetea ujinga ..mimi ni mtz ila kuna vitu tutumiage akili

Kama sisi tumeamua liwalo na liwe basi si kila nchi iko hivo
Ujinga gani nimetetea..!?
Soma kwa makini nilichoandika. Kama bado hujaelewa tatizo litakuwa ni uwezo wako wa kuelewa kuwa mdogo.

Kuwa mtanzania hakuondoi ujinga kichwani, wako watz wapuuzi pia.
 
Mimi hizi taarifa nimezisikia leo, kumbe kulikuwa na tit for tat na hatimaye kenya kasalimu amri.
kwa nini wakenya wameshindwa kuelewa watanzania miaka yote hii.

Hii sio southern Sudan.

Hii united republic jamani.

Umesikia leo pia umeonesha ufinyu wako wa kufikiri leo leo
 
Ujinga gani nimetetea..!?
Soma kwa makini nilichoandika. Kama bado hujaelewa tatizo litakuwa ni uwezo wako wa kuelewa kuwa mdogo.

Kuwa mtanzania hakuondoi ujinga kichwani, wako watz wapuuzi pia.

Rudia ulichoandika acha kuwa.....wa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…