Kaka yake shetani
JF-Expert Member
- Feb 1, 2023
- 5,771
- 14,732
Mnaokwenda ughaibuni nawapa muongozo usije kuwa marehemu huko. Miaka 2004 katika utafutaji wangu wa kusafiri niliingia jiji la Chicago nikiwa maeneo ya Northbrook.
Kutokana na umiliki silaha kuwa mkubwa basi polisi wengi kumuamini mtu yoyote ni ngumu yaani polisi akikusimamisha na kama wewe ndio ngozi ya coca cola bora unyooshe mikono juu ufate anavyotaka la sivo kifo ni kubeep.
Nilikuwa sielewi utaratibu wao baada ya kuhisiwa kilichonitokea walipiga kale kasilaha ka shoti