Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukweli mchungu.US , utafanya kazi ambayo hapa bongo huwezi ikubali , utalipwa mshahara wa kukutosha kuishi, ukijibana sana unaweza sevu kidogo kwa ajili ya ujenzi wa nyumba yako bongo (kama una wasimamizi waminifu) kutengeneza familia ni distant dream, hata ukiitengeneza, lazima utafeli sehemu fulani na kusambaratika.... utafanya kazi tofautitofauti za kawaida (ovyo) mpaka uzee ,utarudi bongo peke yako .... ukirudi hapa bongo utakuwa na nyumba na gari...ila mafuta na chakula ni mpambano mwingine
Mwishowe utakaa maskani na vijana daily kusimulia your life experiences za huko US .... while not sure what to do next day, ...vijicent vikikata unakuwa km mstaafu aliyeishiwa, tofauti ni kuwa wewe huna pension.
Mimi nitaenda Canada.Kuna migrant crisis USA particularly from Mexico. Kila mmoja anataka kwenda USA kukimbia ufukara hasa Africa, to some extent Asia and some few socialist countries from Russia block.
Je, kweli wote tutaenea USA?
US , utafanya kazi ambayo hapa bongo huwezi ikubali , utalipwa mshahara wa kukutosha kuishi, ukijibana sana unaweza sevu kidogo kwa ajili ya ujenzi wa nyumba yako bongo (kama una wasimamizi waminifu) kutengeneza familia ni distant dream, hata ukiitengeneza, lazima utafeli sehemu fulani na kusambaratika.... utafanya kazi tofautitofauti za kawaida (ovyo) mpaka uzee ,utarudi bongo peke yako .... ukirudi hapa bongo utakuwa na nyumba na gari...ila mafuta na chakula ni mpambano mwingine
Mwishowe utakaa maskani na vijana daily kusimulia your life experiences za huko US .... while not sure what to do next day, ...vijicent vikikata unakuwa km mstaafu aliyeishiwa, tofauti ni kuwa wewe huna pension.
Ulko sahihi! Kazi za hovyo zinavuta hela ambayo kwa bongo inafaa sana.Kuna jamaa mmoja anaendesha malori, anaweza kutuma milioni moja kila wiki nyumbani bila shida.Naona umebase kweny some elements of negativity
Aisee ile ni USA a land of opportunities
Uwezi kucompare mfanyakazi anaefanya kazi unazoziita za ovyo na wafanyakazi wengi wa Tz.
And I one day I will be there.