USA na Umoja wa Ulaya ni wanafiki sana

USA na Umoja wa Ulaya ni wanafiki sana

kahembe

JF-Expert Member
Joined
Mar 22, 2015
Posts
227
Reaction score
310
Ona Watoto wanavyohuawa huko Gaza na Jeshi la Israel eti wanashambulia Hamas.

Anayempa kiburi Israel ni Marekani anazidi kikumbatia kwa ujinga anaofanya lakini mbona Russia amewekewa vikwazo chungu nzima kutoka kwa Marekani na Washirika wake lakini Israel hata hawaongei chochote hakuna vikwazo alivyowekewa.

Hivyo Marekani ni mnafiki sana anafurahia kuona watu wanauwawa na jeshi la Israel. Angalia wanashambulia Hospital wanaua watoto ambao hawana hata hatia lakini Marekani Kwa unafiki wao wanendelea kuwakumbatia Waisrael, eti taifa teule.

Mwisho hakuna Amani inayopatikana Kwa vita
 
Ona Watoto wanavyohuwawa huko Gaza na jeshi la Israel eti wanashambulia Hamas
Anayempa kiburi Israel ni Marekani anazidi kikumbatia Kwa ujinga anaofanya lakini mbona Russia amwekewa vikwazo chungu nzima kutoka Kwa Marekani na Washirika wake lakini Israel hata hawaongei chochote hakuna vikwazo alivyowekewa. Hivyo Marekani ni mnafiki sana anafurahia kuona watu wanauwawa na jeshi la Israel. Angalia wanashambulia Hospital wanaua watoto ambao hawana hata hatia..lakini Marekani Kwa unafiki wao wanendelea kuwakumbatia Waisrael...eti taifa teule..Mwisho hakuna Amani inayopatikana Kwa vita
Lakini,hakuna aliyekatazwa kuwawekea vikwazo hao Israeli. Hata wewe unaweza kuwapiga pini tu.
 
Kwa nini tusiiwazie Kongo ambao ni ndugu zetu?

Vita ya Sudan ni kama imesahaulika, wakati ni mapigano makali kweli kweli.

Machafuko ya Darful ni hatari

Ugonvi wa jimbo la blue Nile utazidi kuangamiza roho za Wasudan.

Ila waafrika tunaumizwa na video vya mashariki ya kati, wakati wao hawajali hata kidogo.
Tusisahau kaskazini mwa Msumbiji.

Wacha wauane ,sisi weysi inatuhusu nini?
 
Mwafrika ndio mtu mnafiki duniani
 
Ona Watoto wanavyohuwawa huko Gaza na jeshi la Israel eti wanashambulia Hamas
Anayempa kiburi Israel ni Marekani anazidi kikumbatia Kwa ujinga anaofanya lakini mbona Russia amwekewa vikwazo chungu nzima kutoka Kwa Marekani na Washirika wake lakini Israel hata hawaongei chochote hakuna vikwazo alivyowekewa. Hivyo Marekani ni mnafiki sana anafurahia kuona watu wanauwawa na jeshi la Israel. Angalia wanashambulia Hospital wanaua watoto ambao hawana hata hatia..lakini Marekani Kwa unafiki wao wanendelea kuwakumbatia Waisrael...eti taifa teule..Mwisho hakuna Amani inayopatikana Kwa vita
Wakati hao Hamasi walipoishambulia Israel Oktoba 2022 na kuua watu wasio na hatia walidhani vita ni lelemama ? Mwana kulitafuta Mwana kulipata
 
Kwa nini tusiiwazie Kongo ambao ni ndugu zetu?

Vita ya Sudan ni kama imesahaulika, wakati ni mapigano makali kweli kweli.

Machafuko ya Darful ni hatari

Ugonvi wa jimbo la blue Nile utazidi kuangamiza roho za Wasudan.

Ila waafrika tunaumizwa na video vya mashariki ya kati, wakati wao hawajali hata kidogo.
Tusisahau kaskazini mwa Msumbiji.

Wacha wauane ,sisi weysi inatuhusu nini?
Nili ku ignore kumbe unaakili 😃😃😃😃nmekufungulia kwa hii comment.
Good morning.
 
Ona Watoto wanavyohuwawa huko Gaza na jeshi la Israel eti wanashambulia Hamas
Anayempa kiburi Israel ni Marekani anazidi kikumbatia Kwa ujinga anaofanya lakini mbona Russia amwekewa vikwazo chungu nzima kutoka Kwa Marekani na Washirika wake lakini Israel hata hawaongei chochote hakuna vikwazo alivyowekewa. Hivyo Marekani ni mnafiki sana anafurahia kuona watu wanauwawa na jeshi la Israel. Angalia wanashambulia Hospital wanaua watoto ambao hawana hata hatia..lakini Marekani Kwa unafiki wao wanendelea kuwakumbatia Waisrael...eti taifa teule..Mwisho hakuna Amani inayopatikana Kwa vita
Kwa nini usiwaseme umoja wa Waarabu?

Ya Waarabu yanakuuma kuliko ya Congo jumuiya moja ya Africa mashariki?

Wakoloni wamewaachia makasha tu kwenye vichwa vyenu, ubongo wameondoka nao.
 
Ona Watoto wanavyohuwawa huko Gaza na jeshi la Israel eti wanashambulia Hamas
Anayempa kiburi Israel ni Marekani anazidi kikumbatia Kwa ujinga anaofanya lakini mbona Russia amwekewa vikwazo chungu nzima kutoka Kwa Marekani na Washirika wake lakini Israel hata hawaongei chochote hakuna vikwazo alivyowekewa. Hivyo Marekani ni mnafiki sana anafurahia kuona watu wanauwawa na jeshi la Israel. Angalia wanashambulia Hospital wanaua watoto ambao hawana hata hatia..lakini Marekani Kwa unafiki wao wanendelea kuwakumbatia Waisrael...eti taifa teule..Mwisho hakuna Amani inayopatikana Kwa vita
Hivi waislamu mnaililia sana gaza ina nini kwanini msiililie Sudan au kongo?
 
Back
Top Bottom