Lakini,hakuna aliyekatazwa kuwawekea vikwazo hao Israeli. Hata wewe unaweza kuwapiga pini tu.Ona Watoto wanavyohuwawa huko Gaza na jeshi la Israel eti wanashambulia Hamas
Anayempa kiburi Israel ni Marekani anazidi kikumbatia Kwa ujinga anaofanya lakini mbona Russia amwekewa vikwazo chungu nzima kutoka Kwa Marekani na Washirika wake lakini Israel hata hawaongei chochote hakuna vikwazo alivyowekewa. Hivyo Marekani ni mnafiki sana anafurahia kuona watu wanauwawa na jeshi la Israel. Angalia wanashambulia Hospital wanaua watoto ambao hawana hata hatia..lakini Marekani Kwa unafiki wao wanendelea kuwakumbatia Waisrael...eti taifa teule..Mwisho hakuna Amani inayopatikana Kwa vita
Mwafrika ndio mtu mnafiki dunianiKwa nini tusiiwazie Kongo ambao ni ndugu zetu?
Vita ya Sudan ni kama imesahaulika, wakati ni mapigano makali kweli kweli.
Machafuko ya Darful ni hatari
Ugonvi wa jimbo la blue Nile utazidi kuangamiza roho za Wasudan.
Ila waafrika tunaumizwa na video vya mashariki ya kati, wakati wao hawajali hata kidogo.
Tusisahau kaskazini mwa Msumbiji.
Wacha wauane ,sisi weysi inatuhusu nini?
Wakati hao Hamasi walipoishambulia Israel Oktoba 2022 na kuua watu wasio na hatia walidhani vita ni lelemama ? Mwana kulitafuta Mwana kulipataOna Watoto wanavyohuwawa huko Gaza na jeshi la Israel eti wanashambulia Hamas
Anayempa kiburi Israel ni Marekani anazidi kikumbatia Kwa ujinga anaofanya lakini mbona Russia amwekewa vikwazo chungu nzima kutoka Kwa Marekani na Washirika wake lakini Israel hata hawaongei chochote hakuna vikwazo alivyowekewa. Hivyo Marekani ni mnafiki sana anafurahia kuona watu wanauwawa na jeshi la Israel. Angalia wanashambulia Hospital wanaua watoto ambao hawana hata hatia..lakini Marekani Kwa unafiki wao wanendelea kuwakumbatia Waisrael...eti taifa teule..Mwisho hakuna Amani inayopatikana Kwa vita
Nili ku ignore kumbe unaakili 😃😃😃😃nmekufungulia kwa hii comment.Kwa nini tusiiwazie Kongo ambao ni ndugu zetu?
Vita ya Sudan ni kama imesahaulika, wakati ni mapigano makali kweli kweli.
Machafuko ya Darful ni hatari
Ugonvi wa jimbo la blue Nile utazidi kuangamiza roho za Wasudan.
Ila waafrika tunaumizwa na video vya mashariki ya kati, wakati wao hawajali hata kidogo.
Tusisahau kaskazini mwa Msumbiji.
Wacha wauane ,sisi weysi inatuhusu nini?
Sio October 2023?Wakati hao Hamasi walipoishambulia Israel Oktoba 2022 na kuua watu wasio na hatia walidhani vita ni lelemama ? Mwana kulitafuta Mwana kulipata
Kwa nini usiwaseme umoja wa Waarabu?Ona Watoto wanavyohuwawa huko Gaza na jeshi la Israel eti wanashambulia Hamas
Anayempa kiburi Israel ni Marekani anazidi kikumbatia Kwa ujinga anaofanya lakini mbona Russia amwekewa vikwazo chungu nzima kutoka Kwa Marekani na Washirika wake lakini Israel hata hawaongei chochote hakuna vikwazo alivyowekewa. Hivyo Marekani ni mnafiki sana anafurahia kuona watu wanauwawa na jeshi la Israel. Angalia wanashambulia Hospital wanaua watoto ambao hawana hata hatia..lakini Marekani Kwa unafiki wao wanendelea kuwakumbatia Waisrael...eti taifa teule..Mwisho hakuna Amani inayopatikana Kwa vita
Hivi waislamu mnaililia sana gaza ina nini kwanini msiililie Sudan au kongo?Ona Watoto wanavyohuwawa huko Gaza na jeshi la Israel eti wanashambulia Hamas