USA Pesidential debate today: Kamala Harris (Democrats) vs Donald Trump (Republican): Hizi ndizo sheria na kanuni za mdahalo huu

The Palm Beach

JF-Expert Member
Joined
Dec 30, 2015
Posts
1,967
Reaction score
4,267
Mdahalo (debate) utaanza saa 10:00 alfajiri ( Saa za Afrika Mashariki) siku ya Jumatano na itaenda hadi around saa 12asubuhi..

Kwa watakaotaka kufuatilia, TVs zote za dunia CNN, BBC, FOX NEWS, ALJAZEERA, CBS, ABC, SABC, SKYNEWS nk nk zitarusha live mdahalo huo...

==========================================
HIZI NDIZO KANUNI ZA MDAHALO AMBAZO KILA MSHIRIKI ANAPASWA KUZIHESHIMU NA KUZIZINGATIA KWA UKAMILIFU (English Language version)

1. The debate will be 90 minutes with two commercial breaks.

2. The two seated moderators, David Muir and Linsey Davis, will be the only people asking questions.

3. A coin flip was held virtually on Tuesday, Sept. 3, to determine podium placement and order of closing statements; former President Donald Trump won the coin toss and chose to select the order of statements. The former president will offer the last closing statement, and Vice President Harris selected the right podium position on screen (stage left).

4. Candidates will be introduced by the moderators.

5. The candidates enter upon introduction from opposite sides of the stage; the incumbent party will be introduced first.

6. No opening statements; closing statements will be two minutes per candidate.

6. Candidates will stand behind podiums for the duration of the debate.

7. Props or prewritten notes are not allowed onstage.

8. No topics or questions will be shared in advance with campaigns or candidates.

9. Candidates will be given a pen, a pad of paper and a bottle of water.

10. Candidates will have two-minute answers to questions, two-minute rebuttals, and one extra minute for follow-ups, clarifications, or responses.

11. Candidates' microphones will be live only for the candidate whose turn it is to speak and muted when the time belongs to another candidate.

13. Candidates will not be permitted to ask questions of each other.

14. Campaign staff may not interact with candidates during commercial breaks.

15. Moderators will seek to enforce timing agreements and ensure a civilized discussion.

16. There will be no audience in the room.
 
Najaribu kufikiri kwamba, itokee Bi. Samia Suluhu Hassan apambane na Tundu Lissu kwenye mdahalo kama huu na kanuni (rules) za mdahalo ziwe kama hizi, huyu mama si atakimbia kwenye ukumbi...?
 
Sijui kama huyo Kamala atamuweza Trump.

Trump ana mdomo siasa anajua angle za kupiga sema unafuu naouona ataoenda kuupata Kamala ni kwasababu hakuwepo kwenye power tofauti na Biden.
Ni kweli Trump anajua kupiga domo kama chiriku kama vile alivyo tu Mch. Peter Msigwa wa CCM hapa Tanganyika, mdomo mdomo na usipomwekea break, anaweza kupitiliza shimoni na kufia humo....

Lakini bahati mbaya ni kuwa, hawezi kuwa Rais wa Marekani pamoja na kupiga domo sana...

Sababu na kikwazo kinachomkwamisha ni tabia na mwenendo wake usiofaa. Trump ana skendo nyingi kweli kuanzia za mapenzi na wanawake (sex scandals) na tuhuma za biashara zake kukwepa kodi. Mpaka sana anakabiliwa na kesi mahakamani...

All in all Donald Trump na Republican kwa ujumla ni mzuri kwenye sera za kiuchumi, ajira na sera ya mambo ya nje (foreighn policies)

Kwa upande wa Harris na Democrats, rekodi yao ktk maswala ya kiuchumi, sera ya mambo ya nje na ajira ndani ya utawala wa Joe Biden si njema...

Harris yuko vizuri katika sera za kijamii, afya nk. Hapa ndipo atakapompigia Trump...
 
Trump ni anajua kupiga domo kama chiriku kama vile alivyo Mch. Peter Msigwa wa CCM hapa Tanganyika....

Lakini bahati mbaya ni kuwa, hawezi kuwa Rais wa Marekani pamoja na kupiga domo sana...

Sababu na kikwazo kinachomkwamisha ni tabia na mwenendo wake usiofaa. Trump ana skendo nyingi kweli kuanzia za mapenzi na wanawake (sex scandals) na tuhuma za biashara zake kukwepa kodi. Mpaka sana anakabiliwa na kesi mahakamani...

All in all Donald Trump na Republican kwa ujumla ni mzuri kwenye sera za kiuchumi, ajira na sera ya mambo ya nje (foreighn policies)

Kwa upande wa Harris na Democrats, rekodi yao ktk maswala ya kiuchumi, sera ya mambo ya nje na ajira ndani ya utawala wa Joe Biden si njema...

Harris yuko vizuri katika sera za kijamii, afya nk. Hapa ndipo atakapompigia Trump...
Aaah Msigwa miyeyusho sana, yule jamaa kwa saizi ukimsikiliza interviews zake ndio utaamini yale maneno kuwa usi invest imani yako kwa mwanasiasa.

Mimi mwenyewe najua Trump hafai kuwa raisi na hili nililiona tangia wakati wa utawala wake.

Ila kwa aina hii ya mpinzani aliyekutana naye naona kama kuna advantage anayoenda kuipata.
 
Nafuatilia sana kura za maoni za wagombea wawili huko USA....

Wenzetu hawana longolongo kwenye kura za maoni. Hufanywa na taasisi huru na hufanywa kitaalamu kwelikweli...

Ni kwa 95% kura hizi za maoni (polls) huwa zinaakisi ukweli wa hali halisi ktk ground...

Mpaka jana Kamala Harris alikuwa anampiga Trump ktk majimbo mengi ambayo ndiyo Battleground & tossups states...

Kamala Harris atamshinda Trump kwa mbali sana. Democrats watashinda uchaguzi huu. Kamal Harris ndiye Rais wa 47 wa Marekani. Baada ya miezi miwili ijayo tukutane hapa tukumbushane.....
 
Najaribu kufikiri kwamba, itokee Bi. Samia Suluhu Hassan apambane na Tundu Lissu kwenye mdahalo kama huu na kanuni (rules) za mdahalo ziwe kama hizi, huyu mama si atakimbia kwenye ukumbi...?
Mbona unaweka kinyume kinyume
Samia ni mwenyekiti wa CCM saizi yake ni Mbowe mwenyekiti wa Chadema taifa

Lisu anatakiwa apambane na mskamu mwenyekiti wa CCM
 
Kamala Harris atamshinda Trump kwa mbali sana. Democrats watashinda uchaguzi huu. Kamal Harris ndiye Rais wa 47 wa Marekani. Baada ya miezi miwili ijayo tukutane hapa tukumbushane.....
Kamala Harris hajawahi fanya biashara hata ya kuuza chapati Trump ni mfanyabiashara mkubwa wa kimataifa hivyo yakija maswaki ya uchumi na biashara Kamala Harris atapigwa chini

Marekani nchi ya ki capitalist wenye capital akina Trump ndio washika nchi

Wakisogea huko tu maswali ya uchumi na biashara mama anakwama
 
Midahalo ni afya ya demokrasia na jukwaa la kuuza sera kwa wenye kujitambua.
 
Nafuatilia sana kura za maoni za wagombea wawili huko USA....

Wenzetu hawana longolongo kwenye kura za maoni. Hufanywa na taasisi huru na hufanywa kitaalamu kwelikweli...

Ni kwa 95% kura hizi za maoni (polls) huwa zinaakisi ukweli wa hali halisi ktk ground...

Mpaka jana Kamala Harris alikuwa anampiga Trump ktk majimbo mengi ambayo ndiyo Battleground & tossups states...

Kamala Harris atamshinda Trump kwa mbali sana. Democrats watashinda uchaguzi huu. Kamal Harris ndiye Rais wa 47 wa Marekani. Baada ya miezi miwili ijayo tukutane hapa tukumbushane.....
Bibi Clinton naye alimshinda trump kwenye majimbo ila akashinda trump
 
Haya mambo yasiishie kwa kina kamala/ bibi cheko tu, pia yafanyike na huku kabla ya uchaguzi Lisu na samia wawekwe mtu kati watueleze wanataka kuifanyia nini Tanzania LIVE.
 
Ni kweli Trump anajua kupiga domo kama chiriku kama vile alivyo tu Mch. Peter Msigwa wa CCM hapa Tanganyika, mdomo mdomo na usipomwekea break, anaweza kupitiliza shimoni na kufia humo....

Lakini bahati mbaya ni kuwa, hawezi kuwa Rais wa Marekani pamoja na kupiga domo sana...

Sababu na kikwazo kinachomkwamisha ni tabia na mwenendo wake usiofaa. Trump ana skendo nyingi kweli kuanzia za mapenzi na wanawake (sex scandals) na tuhuma za biashara zake kukwepa kodi. Mpaka sana anakabiliwa na kesi mahakamani...

All in all Donald Trump na Republican kwa ujumla ni mzuri kwenye sera za kiuchumi, ajira na sera ya mambo ya nje (foreighn policies)

Kwa upande wa Harris na Democrats, rekodi yao ktk maswala ya kiuchumi, sera ya mambo ya nje na ajira ndani ya utawala wa Joe Biden si njema...

Harris yuko vizuri katika sera za kijamii, afya nk. Hapa ndipo atakapompigia Trump...
Usifananishe marekani na Tanzania ambapo mtu anayepinga serikali yatanzania ni mtovu wa nidhamu ,jamii iliyopiga shule inaangalia unaahidi nn na athali zake
 
Hao wote hawafai kuwa ma Rais, hawana mapya. Kwa hawa wawili Trump ni bora kuliko huyo baniani.
 
Back
Top Bottom