Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 67,252
- 168,563
I love Tamara lo . Jina zuriMtoto wetu tumuite Kamala au Tamara...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
I love Tamara lo . Jina zuriMtoto wetu tumuite Kamala au Tamara...
Hii thread imezidi kupigilia msumari uwezo mdogo wa kutafakari mambo kwa jamii kubwa ya Watanzania. Haya, mdahalo umefanyika, mbona hamleti mrejesho?Trump anaenda kumaliza kazi ,bibi cheko hatoboi
uchaguzi bado mkuuHii thread imezidi kupigilia msumari uwezo mdogo wa kutafakari mambo kwa jamii kubwa ya Watanzania. Haya, mdahalo umefanyika, mbona hamleti mrejesho?
Nasikia kwa mbali, Trump hana hamu ya kukutana tena na bibi cheka, vipi imekuwaje? kina kirefu, je ni kweli Trump kamaliza kazi? Vipi bibi cheka, katoboa hakutoboa?
Naomba niwashauri Watanzania tujikite katika kujadili haya ya kwetu yaliyotushinda na tusirukia ya wengine yanayotuzidi kimo. Ya Yanga na Simba twaweza sana!