Vipi kuhusu viitenam walitumia muda gani?Siku 22 tu Baghdad ishatekwa na utawala wa Saddam ushaangushwa, Ukraine imeshasaidiwa na viongozi wa juu wa UK na US wamefika kyiv na kuahidi kumsaidia Zelensky.
Vijana wanakurupuka tu humu, Urusi iko vizuri sana kijeshi tena kwenye rank za kidunia yupo namba mbili, lakini leo hii akiingia vitani hata na China atapigwa kwasababu ya uchumi wake mdogo,Alisikika akisema Mkuu wa majeshi ya Marekani
Anasema Marekani ni Taifa kuliko watu wanavyodhani anasema huu ujumbe nadhani Urusi, Iran, IS na North Korea wanaangalia , Kama una akili timamu Amerika ni Nchi ya kuikimbia kwenye vita maana imeona vita, imecheza vita na unajua vita na haipendi vita.
Lakin ukipenda vita na Marekani andaa wa kulea watoto wako maana hutabaki salama! Vita siyo sehemu ya maonesho ya Bunduki kwa amerika bali ni vitendo.
View attachment 2200587
Naliona zuzu la ukraine lipo katikati ....sasa hivi marekani yupo zuzu wa tz anazindua muvi...wazungu wamepata mazuzu 2 kwa sasa.Wewe
Eti vita ya Vietnam USA alishindwa kuteka hata kijiji.... Hebu amka usingizini punguza chuki na mahaba.... Huyo mnaemshabikia Russia ametangaza mara ngap kuwa atakayemsaidia Ukraine atakutana na moto...
Anataka Ukraine asidiwe vip USA anaisaidia Ukraine na Russia yupo katulia hana cha kufanya USA.... Leo wanaume walikuwa kyiv wamesema ule wakati ambao walikuwa wanausubir basi umewadia wanataka kutumia uzaifu huo
Soma hapa[emoji116]
Ukraine war: US wants to see a weakened Russia
By Matt Murphy
BBC News
Published9 hours ago
commentsComments
Share
Related Topics
IMAGE SOURCE,EPA
Image caption,
Mr Austin (L) and Mr Blinken (R) became the highest level US officials to travel to Ukraine since the Russian invasion began.
US Defence Secretary Lloyd Austin has said he hopes Russian losses in Ukraine will deter its leadership from repeating its actions elsewhere.
Ukraine can still win the war if given the right support, he added.
He also announced the US would allocate an extra $713m (£559m) of military aid to Ukraine and other European nations.
Russian President Vladimir Putin has accused the West of attempting to "split Russian society and destroy Russia from within".
Mr Austin, a retired four-star general, was speaking after meeting Ukraine's President Volodymyr Zelensky in Kyiv. Also involving Secretary of State Antony Blinken, the visit marked the highest-level trip to Ukraine by US officials since the invasion began over two months ago.
Alafu msome mchambuzi huyo
[emoji116]
President Biden's always made clear that the US won't directly intervene in the war in Ukraine. He won't be sending American troops to join the battle.
But the truth is that the US is getting more deeply involved - and that's been highlighted by the words of the US defence secretary.
America has dramatically increased the supply of weapons to Ukraine in recent weeks. Despite Russian warnings, it's made clear it'll be sending more. Mr Austin's words underline that America is not a bystander in this war. America wants to see Russia defeated.
More than that, it wants to see Russia's military machine reduced to such an extent that it will not be able to threaten any another European ally in the future. The fear, shared by Nato allies, is that any kind of defeat for Ukraine will only embolden President Putin's ambitions.
Mr Austin has now set out clearly that the US has its own strategic goals for this war - even if it's theoretically not participating. The goal is to stop President Putin and to weaken Russia's military to such an extent that it will no longer be able to threaten other nations.
To some extent that's already happened. Military experts already believe it will take years for Russia to recover from its military losses. That might also send a signal to another nation which the US is increasingly concerned about - namely China.
For President Putin it's more evidence that he's not just in a war with Ukraine. No doubt it will feed his own narrative for the purposes of domestic support. He's long portrayed Nato as a threat to Russia.
In recent days Russia has refocussed its advance on Ukraine's eastern Donbas region and US sources believe that Moscow has committed over 76 battalion tactical groups inside Ukraine.
On Monday, the UK's ministry of defence said in an update that Moscow had made minor advances in the region but had "yet to achieve a breakthrough" because of logistical issues.
The update said: "Ukraine's defence of Mariupol has also exhausted many Russian units and reduced their combat effectiveness."
Source BBC
Acha kufananisha zuzu la ukrain na vitu vya kijingaNaliona zuzu la ukraine lipo katikati ....sasa hivi marekani yupo zuzu wa tz anazindua muvi...wazungu wamepata mazuzu 2 kwa sasa.
Nadhani unaendana na ule muda aliotumia Russia kwa mujahideen pale Afghanistan.Vipi kuhusu viitenam walitumia muda gani?
😬😬😬😬😁😁😁Ila wahenga Ni wahuni Sana,Hilo neno MAKUBAZI hebu ligeuze nyuma mbele ujionee uhuni wao.
Nadhani ungejibu swali maana Vietnam alipata kipigo cha mbwa koko mpaka akakimbia.Nadhani unaendana na ule muda aliotumia Russia kwa mujahideen pale Afghanistan.
Kunya ni Kunya haijalishi unakunya nje au ndani ishu ni unakunya.... Hiv unaona kabisa mtu anatoa msaada ili upigwe alafu unapindiUnamwambia mwana aache mahaba na wewe unaweka mahaba.
Ni kweli Russia alisema atakaye ingilia directly. Hakusema indirectly ndo maana alisema siraha zote kutoka West zitakuwa legitimate target.
So kwa lugha rahisi ni kuwa Chochote kutoka West iwe troops or silaha zitakuwa ni legitimate targets but only if zikiwa ndani ya mipaka ya Ukraine.
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Wakati wanapata kipigo ulikuwepo au story za kwenye kahawa....Nadhani ungejibu swali maana Vietnam alipata kipigo cha mbwa koko mpaka akakimbia.
Somalia ndio hata pasahau milele maana alichakazwa na wahuni wavuta bangi mpaka akatelekeza maiti za askari wake.
Kama alivyocharazwa Russia pale kyiv Hadi akakimbilia mipakani? Au labda kama alivyocharazwa Russia kule Afghanistan hadi vodka wakiita voda. Au tuseme kama vile waarabu walivyotandikwa na muisrael ndani ya siku sita tu.Nadhani ungejibu swali maana Vietnam alipata kipigo cha mbwa koko mpaka akakimbia.
Somalia ndio hata pasahau milele maana alichakazwa na wahuni wavuta bangi mpaka akatelekeza maiti za askari wake.
Hizo ni story wanazojifarijigi nazo wavaa pedo, wanajisahaulisha kuwa Marekani katoka Vietnam kwa kukaa mezani ukasainiwa mkataba, na Marekani alienda kule kusaidia upande wa Vietnam kusini wala sio yeye alikuwa mwenye vita.Wakat
Wakati wanapata kipigo ulikuwepo au story za kwenye kahawa....
Dunia ikiachana na petro dollar basi uchumi wake haotosimama ata kama vita haijaanzaKinachowapa jeur americans ni pesa... Anaweza pigana vita miaka 10 na bao uchumi wake ukasimama.. sasa wew unaepigana nae utaweza simama..?
Bajet ya jeshi la marekan kwa mwaka ni 800bil$ wakat rusia ni 90bil$ kwa mwaka
Sasa ni lini Dunia itaachana na Petro dollar?Dunia ikiachana na petro dollar basi uchumi wake haotosimama ata kama vita haijaanza
Somalia iko wapi haina hata currency yake ?Hahaa Wamarekani bhana,,
Wamesahu walichofanywa na Gerneral Mohamed Farah Aidid wa Somalia 1993 kwenye the battle of Mogadishu? Hiyo ngoma iliitwa ' The black hawk down' Walitafutana.View attachment 2203510View attachment 2203509
Kwa hiyo Marekani alichemka kuipiga Afghanistan wakat Osama alikuwa Pakistan?Pakistan ndo walisaidia kuelekeza maficho ya Osama.
Tuwekee hapa habari zako za kweli basi..
And by the way, mashoga wapo kibao tu Zenji hapo na ukanda wa Pwani!
Unastahili kupuuzwaNaliona zuzu la ukraine lipo katikati ....sasa hivi marekani yupo zuzu wa tz anazindua muvi...wazungu wamepata mazuzu 2 kwa sasa.
Hapana..Kwa hiyo Marekani alichemka kuipiga Afghanistan wakat Osama alikuwa Pakistan?
Sent from my SM-G5500 using JamiiForums mobile app