MTAZAMO
JF-Expert Member
- Feb 8, 2011
- 19,675
- 33,583
Wakuu,
Nimefatilia press kabla ya game USA vs Iran inafurahisha sana. Kama hujaifatilia itafute! Kapteni wa [emoji631] alikuwa smart sana kujibu ile miiba [emoji3]
Nimecheka sana mwandishi wa Iran alipombeza kapteni wa USA kwa kumtaka vibaya jina la nchi yao Iran (alitamka kama inavyoandikwa na wengi tunatamka hivyo) na pia kumuuliza kama wanaunga mkono movements kama black life matters!
Press ilijaa mitego lakini both team zimetumia akili nyingi kujibu bila mihemko! Nafikiri hii Press inaweza kuwa moja ya Press ngumu kwenye michezo na kutumika kwenye mafunzo ya namna ya kudeal na waandishi kwenye press ngumu kama hizi!
USA vs Iran watavunjana miguu uwanjani sababu ya siasa za nje [emoji1783]
All the best [emoji1258] [emoji1787][emoji1787][emoji1787]