USA will remain USA

Hawezi multiple fronts , usimpe kichwa au atapasua msamba, hata misaada kwa Ukraine unamtoa jasho.
Dawa yao ni wa Vietnam na Taleban.
 
Komenti imekaa kikobazi kobazi. Poleni sana shehe wangu.
 
Sasa kama pesa anaprint mwenyewe hawezi shindwa na kitu..
Ilikuwa dunia zima ikafanya kslosa la kumwacha USA kucontrol dunia hivi.
Mbona Zimbabwe ame print hela zake yeye mwenyewe lakini uchumi wake bado tu haujaweza kulingana na sisi?
 
Marekani ndo nchi pekee yenye military bases karibu kila pande ya dunia.

Wana military bases zaidi ya 700.

Nadhani watu wengi huwa wanaichukulia poa Marekani.

Ila ukweli ni kwamba Marekani kijeshi iko juu sana.

Wana uwezo wa kupigana vita ndani ya nchi yako na wewe usipaguse kwao.
 
Tanzania haipo top 6, uongo huu. Si tulitangaziwa jeshi letu ni la6 kwa ubora duniani? Unawezaje kuwa bora bila bajeti nono?
Mkuu,

Zile ni stories za watoto, ukishafika miaka 13 unaachana nazo.
 
Hatuwezi kufananisha hizo nchi mbili, na sababu zipo wazi
Kwa faida ya wengine
🇺🇸 ana military bases 128 katika nchi 55 duniani na maeneo mengine
Kwa upande mwingine Russia hana bases zaidi ya 3
Na hii ndio inampa us nguvu ya kuwa sehemu yoyote kwa wakati wowote
Ikumbukwe pia ni NATO member
Suala ni kujipanga tu
 
Umekuja kuropoka tena.
Hiyo USA inamsapoti Ukraine ikiungana na NATO nzima Yani zaidi ya nchi 30+.
Huyo Israel anasaidiwa na USA,UK,France na Germany.
USA hakuna sehemu anayoweza kusimama peke yake.
Kunywa uji tulia,haya mambo sio level yako.
 
Kama Urusi nae ni mbabe kwanini asimlinde mshirika wake hadi apinduliwe? Hapo unapata jibu kuwa Putin kahenyeshwa na Ukraine yani hapumui
 
Punguza hisia ,nenda kwenye facts
 
Mbona Zimbabwe ame print hela zake yeye mwenyewe lakini uchumi wake bado tu haujaweza kulingana na sisi?
Nguvu ya geopolitics ya Zimbabwe unaweza ifananisha na ya USA!?
 
Russia ni bora iwepo kwa namna ilivyo. Angejichanganya kwenye mtego wa Syria angepoteza vyote!
No empire lasts forever! Us will definitely fall one day!
Wala usifikirie hilo la anguko kwa US....hizo zote zinazoleta chokochoko duniani kwanza ndo zipo kwenye mipango ya mudamfupi ya maendeleo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…