USA will remain USA

USA will remain USA

Russia can't manage to fight in multiple front lines. They have a limited resources.

Balshar Assad regime has collapsed due to its ally (Russia) failure to step in and help.

Russia is engaged fully with Ukrainian war.

The case is different with USA. The giant superpower can control Taiwan, back Ukraine, defend far east allies like Japan, south Korea, Philippines.

At the same time support ISRAEL

USA atabaki USA
Hawezi multiple fronts , usimpe kichwa au atapasua msamba, hata misaada kwa Ukraine unamtoa jasho.
Dawa yao ni wa Vietnam na Taleban.
 
Makala ya kijinga sana hii.
Urusi ndio iliyomuokoa na kumlinda Assad Kwa Miaka zaidi ya kumi wakati wa vita ya kwanza ya allepo na waasi.
Huyo USA hakufanya chochote.leo hii kavizia Urusi ana vita Ukraine ambayo Ukraine inasaidiwa na all collective west ndio hao USA wako wakapata upenyo wa kwenda kumtoa Assad.miaka yote zaidi ya kumi walikua wapi?
Mie hua najiuliza kama USA ni wababe mbona walikimbizwa na Watalaban?
Komenti imekaa kikobazi kobazi. Poleni sana shehe wangu.
 
Marekani ndo nchi pekee yenye military bases karibu kila pande ya dunia.

Wana military bases zaidi ya 700.

Nadhani watu wengi huwa wanaichukulia poa Marekani.

Ila ukweli ni kwamba Marekani kijeshi iko juu sana.

Wana uwezo wa kupigana vita ndani ya nchi yako na wewe usipaguse kwao.
 
Tanzania haipo top 6, uongo huu. Si tulitangaziwa jeshi letu ni la6 kwa ubora duniani? Unawezaje kuwa bora bila bajeti nono?
Mkuu,

Zile ni stories za watoto, ukishafika miaka 13 unaachana nazo.
 
Hatuwezi kufananisha hizo nchi mbili, na sababu zipo wazi
Kwa faida ya wengine
🇺🇸 ana military bases 128 katika nchi 55 duniani na maeneo mengine
Kwa upande mwingine Russia hana bases zaidi ya 3
Na hii ndio inampa us nguvu ya kuwa sehemu yoyote kwa wakati wowote
Ikumbukwe pia ni NATO member
Suala ni kujipanga tu
 
Umekuja kuropoka tena.
Hiyo USA inamsapoti Ukraine ikiungana na NATO nzima Yani zaidi ya nchi 30+.
Huyo Israel anasaidiwa na USA,UK,France na Germany.
USA hakuna sehemu anayoweza kusimama peke yake.
Kunywa uji tulia,haya mambo sio level yako.
 
Makala ya kijinga sana hii.
Urusi ndio iliyomuokoa na kumlinda Assad Kwa Miaka zaidi ya kumi wakati wa vita ya kwanza ya allepo na waasi.
Huyo USA hakufanya chochote.leo hii kavizia Urusi ana vita Ukraine ambayo Ukraine inasaidiwa na all collective west ndio hao USA wako wakapata upenyo wa kwenda kumtoa Assad.miaka yote zaidi ya kumi walikua wapi?
Mie hua najiuliza kama USA ni wababe mbona walikimbizwa na Watalaban?
Kama Urusi nae ni mbabe kwanini asimlinde mshirika wake hadi apinduliwe? Hapo unapata jibu kuwa Putin kahenyeshwa na Ukraine yani hapumui
 
Ulitaka asiwe na marafiki wanaomsupport wenye mlengo mmoja yan udini wako unataka kutuaminisha kuna nchi hapa dunian inaweza pgana na marekan full scale war na ikashnda au ndo utanambia tuvita twa afganstan sjui iraq ambako marekan alishatmiza matakwa yake au hujui kwmb urusi aliwahi furushwa na wataliban huko afghanstan je kwa hlo tu wataliban wanaweza mpga mrusi eti ksa mrusi aliwahi vamia hapo na akatemeshwa khs kusaidiwa kwan urusi naye si ana mahawala zake china na korea kz na iran wapo wanamsaidia sa kwan inamaana kwmb urusi hawez pgana mwnyw ksa support ya marafk zake punguza udini kwny fact. Nb: hao wote ni wazungu na hawawapend watu weusi pia waarabu nao ni kama hao hawawapend watu weusi dini hz ni zao wala hawana hbr nazo ila tulioletewa ndo shobo na kuwashobokea
Punguza hisia ,nenda kwenye facts
 
Sheikh kuna mengine unadanganya sana sheikh wangu. Unayatoa wapi?
Wewe nilishakwambia usiendeshe mijadala na mimi maana huna ulijualo.
Screenshot_2024-12-09-08-32-57-92_40deb401b9ffe8e1df2f1cc5ba480b12.jpg
 
Mbona Zimbabwe ame print hela zake yeye mwenyewe lakini uchumi wake bado tu haujaweza kulingana na sisi?
Nguvu ya geopolitics ya Zimbabwe unaweza ifananisha na ya USA!?
 
Russia ni bora iwepo kwa namna ilivyo. Angejichanganya kwenye mtego wa Syria angepoteza vyote!
No empire lasts forever! Us will definitely fall one day!
Wala usifikirie hilo la anguko kwa US....hizo zote zinazoleta chokochoko duniani kwanza ndo zipo kwenye mipango ya mudamfupi ya maendeleo
 
Back
Top Bottom