Achana naye huyo kobaz hayanaga akili yanasahau urusi na china hawataki skia takataka iitwayo uislam hata ukiwauliza ni zp sababu za msingi za kuichukia marekan na ulaya hawana wanasahau lile jiwe jeusi pale saudia linalindwa na majesh ya marekan wana kambi kubwa kbs pale saudi arabia bila marekan hakuna kuhiji saudi arabia patachafuka shia na suni
Hiyo budget inalalamikiwa hadi wameanzisha "Doge"-department of government efficient ".Mkuu unajua bajeti ya mambo ya ulinzi ya Marekani ni kiasi gani na nchi inayoifuatia ni kiasi gani?View attachment 3172283
Wala usifikirie hilo la anguko kwa US....hizo zote zinazoleta chokochoko duniani kwanza ndo zipo kwenye mipango ya mudamfupi ya maendeleo
Ma-bases ya US yapo kwa ajili ya interests za US....na vizazi vyao.Ni akili za babu zao ndo zimewafikisha hapo.Hatuwezi kufananisha hizo nchi mbili, na sababu zipo wazi
Kwa faida ya wengine
🇺🇸 ana military bases 128 katika nchi 55 duniani na maeneo mengine
Kwa upande mwingine Russia hana bases zaidi ya 3
Na hii ndio inampa us nguvu ya kuwa sehemu yoyote kwa wakati wowote
Ikumbukwe pia ni NATO member
Suala ni kujipanga tu
Ile department haitagusa bajeti ya ulinzi itadeal na habari za kupunguza wafanyakazi wa serikali na kuwafuatilia wanaenda chooni dakika ngapi na ujinga kama huo. It's more about politics than anything.Hiyo budget inalalamikiwa hadi wameanzisha "Doge"-department of government efficient ".
Ambayo itasimamiwa na Elon musk +Vivek.
hii comment yako imekalia ki pampers pampers , hongera Padri wetuKomenti imekaa kikobazi kobazi. Poleni sana shehe wangu.
Nakubaliana na wewe kupunguza budget ya ulinzi kwa dunia ya sasa ilivyo ni kitanzi kwa USA.Ile department haitagusa bajeti ya ulinzi itadeal na habari za kupunguza wafanyakazi wa serikali na kuwafuatilia wanaenda chooni dakika ngapi na ujinga kama huo. It's more about politics than anything.
Kugusa bajeti ya ulinzi Marekani ni kugusa uchumi wa Marekani. Hao wanasiasa wakubwa wenyewe wanapiga sana hizo hela za bajeti ya ulinzi. Kina Dick Cheney ndio hao wameongoza mpaka Halliburton.
Wabunge wa Marekani karibu wote wana pet projects kwenye majimbo yao zinaitwa "pork", zinakuwa zinapata hela nyingi za bajeti ya ulinzi, hawawezi kupitisha kitu cha kupunguza bajeti ya ulinzi kirahisi kwani kupunguza bajeti hii ni kujipunguzia bajeti zinazoenda majimboni mwao.
Sen. Bernie Sanders alikuwa anawasema wenzake kuwa wachache sana wanapiga kura kupunguza bajeti ya ulinzi, anasema Elon na Vivek wakianza kukata bajeti waanzie kwenye ulinzi, lakini timbwili lake si la kitoto.
Trump anasema anataka kukabiliana na China. Sasa unafikiri kuna kukabiliana na China na kupunguza bajeti ya ulinzi wakati South China Sea panaweza kulipuka dakika yoyote?
Msemaji wa JWTZ alisema hivyo mwaka juzi.Mkuu,
Zile ni stories za watoto, ukishafika miaka 13 unaachana nazo.
Kwa hiyo kumbe ku print hela sio main factor?Nguvu ya geopolitics ya Zimbabwe unaweza ifananisha na ya USA!?
Nimeambiwa kuhusu nn allah alichowaahidi kmewafanya kuwa wapumbavu na wauaji wakubwa sjui waislam huwa mna matatzo gn mkiwa mahali kwa wingi mnawachukia wakristo na kuwafanyia mauaji dini gani hiyo inaenezwa kwa upanga na mauaji ni mungu gan huyo anayepganiwa kwa damu na nyama za wanadamu wasioamin dini hiyo? Mbaya zaid bdo ninyi kwa ninyi hamuelewan kisa huyu ni shia na huyu ni suni mpaka mnauana sjui ni dini ya aina gn hii ajabu mko busy na ukristo wkt huohuo kuna wabudha wahindu nk wala hamuhangaiki nao wala kuwazungumzia si ajabu muislam kuvaa bomu na kwenda uwa wakristo kanisan na akawaacha wabudha na wahindu wasioamin uislam pia na wanaupga vita cha ajabu kuran imejaa chuki na uadui dhidi ya wakristo na wayahudi bt uksoma biblia hata haitambui ktu kiitwacho uislam wala mudi ila inashangaza waislam mnaipakazia biblia kuutambua uislam vituko vya ajabu wapuuz wengne humu hata hawajui kutofautisha sinagogi na mskiti na kanisa na hekalu utaskia ooh yesu aliingia msktini yan kuna hii dini yenu imewamaliza akili kbs wapuuz nyieNdivyo unavyoambiwa na mchungaji wako ??
Wafilaji wakubwa na wafilwaji wamejaa arabuni eti ksa wazungu kuweka waz mambo yao hakuwafanyi waarabu kutokuwa mashoga nenda mikoa iliyo na waislam weng kama tanga pia zanzibar uone machoko yalivyojazana mpk msktinihii comment yako imekalia ki pampers pampers , hongera Padri wetu
Hata mimi huwa najiuliza russia alikmbzwaje na wataliban lakn huwa nashangaa putin wkt anaingza jeshi ukraine alitangaza kbs yeyote atakayethubutu msaidia ukraine atapewa kpgo cha karne ajabu marekan na ulaya wanamsaidia na hajathubutu kurusha hata guluneti hapo ulaya khs marekan kavzia urusi yuko busy na ukraine hzo ni mbnu za kvita unapga kwny udhaifu kama russia ni mbabe si angepata taarifa mapema na akawataarifu syria kabla waasi hawajaingia hapo shda ya makobaz dini imewamaliza akili huyo urusi na mahawala zake wote wangekuwa wanamuweza marekani leo hii kusingekuwa na israel wa taiwan isingekuwa inaisumbua china haya mengne ni ujinga wa dini yenu na mungu wenu mnayempgania hakuna kngneMakala ya kijinga sana hii.
Urusi ndio iliyomuokoa na kumlinda Assad Kwa Miaka zaidi ya kumi wakati wa vita ya kwanza ya allepo na waasi.
Huyo USA hakufanya chochote.leo hii kavizia Urusi ana vita Ukraine ambayo Ukraine inasaidiwa na all collective west ndio hao USA wako wakapata upenyo wa kwenda kumtoa Assad.miaka yote zaidi ya kumi walikua wapi?
Mie hua najiuliza kama USA ni wababe mbona walikimbizwa na Watalaban?
Nope is not worth itMa-bases ya US yapo kwa ajili ya interests za US....na vizazi vyao.Ni akili za babu zao ndo zimewafikisha hapo.
Sisi tunapata faida gani US akiwa na base 1000 duniani kote, au Russia akiwa na base 700, au France 20,000: Je hiyo projection of power sisi inatusaidia nini?? Kuna watu US hawajui hata kama kuna nchi inaitwa Tz, the same to Europe, Russia.
Hao wote ni capitalists tu....wanapambania vizazi vyao. Ni vizuri kujua wenzetu walifanya nini au wanafanya nini, na pia tunaweza kuwa na makundi..but tuwaze zaidi, kubishana ..watu mpaka wanataka kutoana roho kisa sijui Russia au Europe.Is it worth it??
Nyinyi watoto wadogo muwe mnaenda Tiktok kupost post. Uku Jamii forum kunataka watu wenye kufikiriUmekuja kuropoka tena.
Hiyo USA inamsapoti Ukraine ikiungana na NATO nzima Yani zaidi ya nchi 30+.
Huyo Israel anasaidiwa na USA,UK,France na Germany.
USA hakuna sehemu anayoweza kusimama peke yake.
Hata akisema leo, hizo ni stories za watoto badoMsemaji wa JWTZ alisema hivyo mwaka juzi.
Ndugu yangu nilishaga acha kujadiliana na wewe Kwa sababu niliona una utoto mwingi sana.Mbona hao taleban pia walimfurusha Urusi
Vita ambayo naifahamu USA kama superpower wa Dunia aliyokwenda peke yake ni vita na Vietnam,matokeo yake ni aibu ya Karne isiyofutika.Russia can't manage to fight in multiple front lines. They have a limited resources.
Balshar Assad regime has collapsed due to its ally (Russia) failure to step in and help.
Russia is engaged fully with Ukrainian war.
The case is different with USA. The giant superpower can control Taiwan, back Ukraine, defend far east allies like Japan, south Korea, Philippines.
At the same time support ISRAEL
USA atabaki USA
Umekuja kuropoka tena.
Hiyo USA inamsapoti Ukraine ikiungana na NATO nzima Yani zaidi ya nchi 30+.
Huyo Israel anasaidiwa na USA,UK,France na Germany.
USA hakuna sehemu anayoweza kusimama peke yake.
Nilimaanisha mujahedeen na sio taleban, lakini pia wewe endelea kujadiliana na wapuuzi wenzako, sio lazima ujadiliane namimiNdugu yangu nilishaga acha kujadiliana na wewe Kwa sababu niliona una utoto mwingi sana.
Ila kwa Leo nimeona aibu Mimi Kwa sababu unaongea pumba mno na unapotosha sana.
Nimeamua kukusaidia maana unaadhirika.
Iko hivi.
Wakati USSR ilipoivamia Afghanistan hapakua na Watalabani Bali serikali kamili ya Afghanistan ilipinduliwa na jeshi la USSR.walipopindiliwa wakaunda uasi na kundi likaitwa Mujahedeen.
Hao wapendwa wako USA na washirika wake yaani NATO and non NATO walipigana na kundi la Talaban(Urusi haijawahi kupigana na Watalaban).
Ni Hawa watalaban ndio waliowashinda USA wako na NATO yake.
Ushahidi ni kwamba vita ilichukua miaka 20 na wamarekani wakakimbia na kuacha silaha nyingi ambazo hata Nigeria Haina,na kibaya zaidi Watalabani wakarudi madarakani,wapo Hadi Leo.