USA will remain USA

USA will remain USA

Achana naye huyo kobaz hayanaga akili yanasahau urusi na china hawataki skia takataka iitwayo uislam hata ukiwauliza ni zp sababu za msingi za kuichukia marekan na ulaya hawana wanasahau lile jiwe jeusi pale saudia linalindwa na majesh ya marekan wana kambi kubwa kbs pale saudi arabia bila marekan hakuna kuhiji saudi arabia patachafuka shia na suni

Ndivyo unavyoambiwa na mchungaji wako ??
 
Wala usifikirie hilo la anguko kwa US....hizo zote zinazoleta chokochoko duniani kwanza ndo zipo kwenye mipango ya mudamfupi ya maendeleo

hii hali iliyonayo Marekani hivi sasa ndivyo ilivyokuwa miaka 10 tu iliyopita ??
 
Hatuwezi kufananisha hizo nchi mbili, na sababu zipo wazi
Kwa faida ya wengine
🇺🇸 ana military bases 128 katika nchi 55 duniani na maeneo mengine
Kwa upande mwingine Russia hana bases zaidi ya 3
Na hii ndio inampa us nguvu ya kuwa sehemu yoyote kwa wakati wowote
Ikumbukwe pia ni NATO member
Suala ni kujipanga tu
Ma-bases ya US yapo kwa ajili ya interests za US....na vizazi vyao.Ni akili za babu zao ndo zimewafikisha hapo.
Sisi tunapata faida gani US akiwa na base 1000 duniani kote, au Russia akiwa na base 700, au France 20,000: Je hiyo projection of power sisi inatusaidia nini?? Kuna watu US hawajui hata kama kuna nchi inaitwa Tz, the same to Europe, Russia.
Hao wote ni capitalists tu....wanapambania vizazi vyao. Ni vizuri kujua wenzetu walifanya nini au wanafanya nini, na pia tunaweza kuwa na makundi..but tuwaze zaidi, kubishana ..watu mpaka wanataka kutoana roho kisa sijui Russia au Europe.Is it worth it??
 
Hiyo budget inalalamikiwa hadi wameanzisha "Doge"-department of government efficient ".
Ambayo itasimamiwa na Elon musk +Vivek.
Ile department haitagusa bajeti ya ulinzi itadeal na habari za kupunguza wafanyakazi wa serikali na kuwafuatilia wanaenda chooni dakika ngapi na ujinga kama huo. It's more about politics than anything.

Kugusa bajeti ya ulinzi Marekani ni kugusa uchumi wa Marekani. Hao wanasiasa wakubwa wenyewe wanapiga sana hizo hela za bajeti ya ulinzi. Kina Dick Cheney ndio hao wameongoza mpaka Halliburton.

Wabunge wa Marekani karibu wote wana pet projects kwenye majimbo yao zinaitwa "pork", zinakuwa zinapata hela nyingi za bajeti ya ulinzi, hawawezi kupitisha kitu cha kupunguza bajeti ya ulinzi kirahisi kwani kupunguza bajeti hii ni kujipunguzia bajeti zinazoenda majimboni mwao.

Sen. Bernie Sanders alikuwa anawasema wenzake kuwa wachache sana wanapiga kura kupunguza bajeti ya ulinzi, anasema Elon na Vivek wakianza kukata bajeti waanzie kwenye ulinzi, lakini timbwili lake si la kitoto.

Trump anasema anataka kukabiliana na China. Sasa unafikiri kuna kukabiliana na China na kupunguza bajeti ya ulinzi wakati South China Sea panaweza kulipuka dakika yoyote?
 
Nakubaliana na wewe kupunguza budget ya ulinzi kwa dunia ya sasa ilivyo ni kitanzi kwa USA.
 
Ndivyo unavyoambiwa na mchungaji wako ??
Nimeambiwa kuhusu nn allah alichowaahidi kmewafanya kuwa wapumbavu na wauaji wakubwa sjui waislam huwa mna matatzo gn mkiwa mahali kwa wingi mnawachukia wakristo na kuwafanyia mauaji dini gani hiyo inaenezwa kwa upanga na mauaji ni mungu gan huyo anayepganiwa kwa damu na nyama za wanadamu wasioamin dini hiyo? Mbaya zaid bdo ninyi kwa ninyi hamuelewan kisa huyu ni shia na huyu ni suni mpaka mnauana sjui ni dini ya aina gn hii ajabu mko busy na ukristo wkt huohuo kuna wabudha wahindu nk wala hamuhangaiki nao wala kuwazungumzia si ajabu muislam kuvaa bomu na kwenda uwa wakristo kanisan na akawaacha wabudha na wahindu wasioamin uislam pia na wanaupga vita cha ajabu kuran imejaa chuki na uadui dhidi ya wakristo na wayahudi bt uksoma biblia hata haitambui ktu kiitwacho uislam wala mudi ila inashangaza waislam mnaipakazia biblia kuutambua uislam vituko vya ajabu wapuuz wengne humu hata hawajui kutofautisha sinagogi na mskiti na kanisa na hekalu utaskia ooh yesu aliingia msktini yan kuna hii dini yenu imewamaliza akili kbs wapuuz nyie
 
hii comment yako imekalia ki pampers pampers , hongera Padri wetu
Wafilaji wakubwa na wafilwaji wamejaa arabuni eti ksa wazungu kuweka waz mambo yao hakuwafanyi waarabu kutokuwa mashoga nenda mikoa iliyo na waislam weng kama tanga pia zanzibar uone machoko yalivyojazana mpk msktini
 
Makala ya kijinga sana hii.
Urusi ndio iliyomuokoa na kumlinda Assad Kwa Miaka zaidi ya kumi wakati wa vita ya kwanza ya allepo na waasi.
Huyo USA hakufanya chochote.leo hii kavizia Urusi ana vita Ukraine ambayo Ukraine inasaidiwa na all collective west ndio hao USA wako wakapata upenyo wa kwenda kumtoa Assad.miaka yote zaidi ya kumi walikua wapi?
Mie hua najiuliza kama USA ni wababe mbona walikimbizwa na Watalaban?
Hata mimi huwa najiuliza russia alikmbzwaje na wataliban lakn huwa nashangaa putin wkt anaingza jeshi ukraine alitangaza kbs yeyote atakayethubutu msaidia ukraine atapewa kpgo cha karne ajabu marekan na ulaya wanamsaidia na hajathubutu kurusha hata guluneti hapo ulaya khs marekan kavzia urusi yuko busy na ukraine hzo ni mbnu za kvita unapga kwny udhaifu kama russia ni mbabe si angepata taarifa mapema na akawataarifu syria kabla waasi hawajaingia hapo shda ya makobaz dini imewamaliza akili huyo urusi na mahawala zake wote wangekuwa wanamuweza marekani leo hii kusingekuwa na israel wa taiwan isingekuwa inaisumbua china haya mengne ni ujinga wa dini yenu na mungu wenu mnayempgania hakuna kngne
 
Ma-bases ya US yapo kwa ajili ya interests za US....na vizazi vyao.Ni akili za babu zao ndo zimewafikisha hapo.
Sisi tunapata faida gani US akiwa na base 1000 duniani kote, au Russia akiwa na base 700, au France 20,000: Je hiyo projection of power sisi inatusaidia nini?? Kuna watu US hawajui hata kama kuna nchi inaitwa Tz, the same to Europe, Russia.
Hao wote ni capitalists tu....wanapambania vizazi vyao. Ni vizuri kujua wenzetu walifanya nini au wanafanya nini, na pia tunaweza kuwa na makundi..but tuwaze zaidi, kubishana ..watu mpaka wanataka kutoana roho kisa sijui Russia au Europe.Is it worth it??
Nope is not worth it
Na wala haitusaidii lolote kwa upande wetu maana sisi wenyewe hatujielewi na wengi wanaishi kama ndege tu
Akikurupuka kutoka chumbani hajui kama atapata nini aendako
Hatuwezi hata kuiga let alone kutengeneza vyetu
Naona umemaliza kila kitu ila nimeongezea tu
 
Umekuja kuropoka tena.
Hiyo USA inamsapoti Ukraine ikiungana na NATO nzima Yani zaidi ya nchi 30+.
Huyo Israel anasaidiwa na USA,UK,France na Germany.
USA hakuna sehemu anayoweza kusimama peke yake.
Nyinyi watoto wadogo muwe mnaenda Tiktok kupost post. Uku Jamii forum kunataka watu wenye kufikiri
 
Mbona hao taleban pia walimfurusha Urusi
Ndugu yangu nilishaga acha kujadiliana na wewe Kwa sababu niliona una utoto mwingi sana.
Ila kwa Leo nimeona aibu Mimi Kwa sababu unaongea pumba mno na unapotosha sana.
Nimeamua kukusaidia maana unaadhirika.
Iko hivi.
Wakati USSR ilipoivamia Afghanistan hapakua na Watalabani Bali serikali kamili ya Afghanistan ilipinduliwa na jeshi la USSR.walipopindiliwa wakaunda uasi na kundi likaitwa Mujahedeen.

Hao wapendwa wako USA na washirika wake yaani NATO and non NATO walipigana na kundi la Talaban(Urusi haijawahi kupigana na Watalaban).
Ni Hawa watalaban ndio waliowashinda USA wako na NATO yake.
Ushahidi ni kwamba vita ilichukua miaka 20 na wamarekani wakakimbia na kuacha silaha nyingi ambazo hata Nigeria Haina,na kibaya zaidi Watalabani wakarudi madarakani,wapo Hadi Leo.
 
Russia can't manage to fight in multiple front lines. They have a limited resources.

Balshar Assad regime has collapsed due to its ally (Russia) failure to step in and help.

Russia is engaged fully with Ukrainian war.

The case is different with USA. The giant superpower can control Taiwan, back Ukraine, defend far east allies like Japan, south Korea, Philippines.

At the same time support ISRAEL

USA atabaki USA
Vita ambayo naifahamu USA kama superpower wa Dunia aliyokwenda peke yake ni vita na Vietnam,matokeo yake ni aibu ya Karne isiyofutika.
Operation ambayo USA alikwenda peke yake ni Operation ya Somalia,matokeo yake ni aibu nyingine ya Karne.

USA akaona soo kwenda vitani peke yake Kwa kuogopa aibu nyingine,akaanza kukokota chawa wake,akaenda nao Iran kupigana na nchi dhaifu iliyowekewa vikwazo na kupelelezwa na wachunguzi wa WMD ndipo USA na wenzake wakaishinda .
USA akaona Raha ,akakusanya chawa wake wakaenda Afghanistan kupigana na kikundi Cha Talaban kilichokua kinaongozwa na Mullah Omar Mohamed.
Matokeo yake vita ilichukua miaka 20 na USA na chawa wake walishindwa vita kwa aibu kubwa mno.

Sijaona ukuu wa USA kwenye vita. USA ya kwenye sinema ni tofauti na USA ya vitani.
Many countries supported the United States in the invasion of Afghanistan, including:
United Kingdom: The UK supplied the most troops relative to its population, and led the International Security Assistance Force (ISAF)
Germany: One of the top five countries to send troops to Afghanistan
France: One of the top five countries to send troops to Afghanistan
Italy: One of the top five countries to send troops to Afghanistan
Canada: One of the top five countries to send troops to Afghanistan
Australia: Sent special operations forces
Denmark: Sent special operations forces
Norway: Sent special operations forces
Turkey: Provided aerial refueling support for U.S. aircraft
United Arab Emirates: Provided basing and overflight permission for U.S. and coalition forces
The war in Afghanistan cost the U.S. and its allies an estimated $955 billion between 2001 and 2020.
 
Umekuja kuropoka tena.
Hiyo USA inamsapoti Ukraine ikiungana na NATO nzima Yani zaidi ya nchi 30+.
Huyo Israel anasaidiwa na USA,UK,France na Germany.
USA hakuna sehemu anayoweza kusimama peke yake.

Many countries supported the United States in the invasion of Afghanistan, including:
United Kingdom: The UK supplied the most troops relative to its population, and led the International Security Assistance Force (ISAF)
Germany: One of the top five countries to send troops to Afghanistan
France: One of the top five countries to send troops to Afghanistan
Italy: One of the top five countries to send troops to Afghanistan
Canada: One of the top five countries to send troops to Afghanistan
Australia: Sent special operations forces
Denmark: Sent special operations forces
Norway: Sent special operations forces
Turkey: Provided aerial refueling support for U.S. aircraft
United Arab Emirates: Provided basing and overflight permission for U.S. and coalition forces
The war in Afghanistan cost the U.S. and its allies an estimated $955 billion between 2001 and 2020.
 
Ndugu yangu nilishaga acha kujadiliana na wewe Kwa sababu niliona una utoto mwingi sana.
Ila kwa Leo nimeona aibu Mimi Kwa sababu unaongea pumba mno na unapotosha sana.
Nimeamua kukusaidia maana unaadhirika.
Iko hivi.
Wakati USSR ilipoivamia Afghanistan hapakua na Watalabani Bali serikali kamili ya Afghanistan ilipinduliwa na jeshi la USSR.walipopindiliwa wakaunda uasi na kundi likaitwa Mujahedeen.

Hao wapendwa wako USA na washirika wake yaani NATO and non NATO walipigana na kundi la Talaban(Urusi haijawahi kupigana na Watalaban).
Ni Hawa watalaban ndio waliowashinda USA wako na NATO yake.
Ushahidi ni kwamba vita ilichukua miaka 20 na wamarekani wakakimbia na kuacha silaha nyingi ambazo hata Nigeria Haina,na kibaya zaidi Watalabani wakarudi madarakani,wapo Hadi Leo.
Nilimaanisha mujahedeen na sio taleban, lakini pia wewe endelea kujadiliana na wapuuzi wenzako, sio lazima ujadiliane namimi
 
Tukisema NATO ikishindwa na watalaban hatubahatishi.

NATO and Afghanistan
Last updated: 31 Aug. 2022 17:09
EnglishDariFrenchPashtoRussianUkrainian
For nearly 20 years, NATO Allies and partner countries had military forces deployed to Afghanistan under a United Nations (UN) Security Council mandate. NATO Allies went into Afghanistan after the 9/11 terrorist attacks on the United States, to ensure that the country would not again become a safe haven for international terrorists to attack NATO member countries. Over the last two decades, there have been no terrorist attacks on Allied soil from Afghanistan.

View of the Herat Citadel
View of the Herat Citadel during a visit by the NATO Secretary General in May 2011

In February 2020, the United States and the Taliban signed an agreement on the withdrawal of international forces from Afghanistan by May 2021. In April 2021, NATO Foreign and Defence ministers decided to withdraw all Allied troops from Afghanistan within a few months.
 
Back
Top Bottom