USA will remain USA

Nilimaanisha mujahedeen na sio taleban, lakini pia wewe endelea kujadiliana na wapuuzi wenzako, sio lazima ujadiliane namimi
Badala unishukuru nimekusaisia unanitukana.
Hapa kama ni mtihani tayari ulishapatq zero.
Watu wate waliosoma komenti Yako na wanaojua walikuana hujui ulichoandika.
Mimi nimekuepusha na aibu.
 
Badala unishukuru nimekusaisia unanitukana.
Hapa kama ni mtihani tayari ulishapatq zero.
Watu wate waliosoma komenti Yako na wanaojua walikuana hujui ulichoandika.
Mimi nimekuepusha na aibu.
😃😃 eti aibu, tatizo ulilonalo kichwani mwako kila siku ni kejeli, ukiacha kejeli na kuheshimu mawazo ya waliopo kinyume nawe utaenda sawa..
 
Kama Urusi nae ni mbabe kwanini asimlinde mshirika wake hadi apinduliwe? Hapo unapata jibu kuwa Putin kahenyeshwa na Ukraine yani hapumui

Assad ameondoka bila kutoa upinzani wowote ili kuepusha umwagikaji wa damu usio na sababu za msingi.
Usidhani katafanya hayo kwa kupenda Bali alishauriwa na Urusi baada ya kutathmini kama angeamua kupigana watu wengi wangekufa.Tofauti na ushauri anaopewa Ukraine apigane TU Hadi kaambiwa aandikishe watoto wa miaka 18 jeshini,huu sio utu.
Urusi Wana utu,walijua hata wakimsaidia vipi huko mbele angekuja kushindwa TU.
Kuna mazungumzo yalifanyika nyuma ya pazia ili Assad akabidhi madaraka kistaarabu kwa waziri Mkuu.
Sio Kila msaada ni vita TU kama wafanyavyo USA.


Putin personally approved Assad’s asylum – Kremlin

“Such decisions cannot be made without the head of state; it is his decision.”

Mikhail Ulyanov, a senior Russian diplomat, confirmed earlier Monday that Assad and his family were in Moscow, saying this reflected Russia’s commitment to its allies in challenging times. “Russia does not betray its friends in difficult situations… unlike the US,” Ulyanov stated.

Soma hapa uelewe kwamba kulikua Kuna mazungumzo nyuma ya pazia ya kuepusha umwagikaji wa damu,sio Kila kitu ni vita TU.
Mengi yatakua yaliongelewa Mimi na wewe hatuwezi kuambiwa.

Assad agreed to step down following negotiations with armed opposition groups and instructed officials to ensure a “peaceful transfer of power.”
 
😃😃 eti aibu, tatizo ulilonalo kichwani mwako kila siku ni kejeli, ukiacha kejeli na kuheshimu mawazo ya waliopo kinyume nawe utaenda sawa..
Mimi nimekukejeli wapi?
Wewe ndio mwenye dharau na kashfa sana.
Wewe una kejeli sana na zimo kumbukumbu humu.
Sisi wengine mijadala humu tunaichukilia kama utani,nyie mnaichukulia kama vita rasmi.
Mimi Niko peace sana.
 
Naomba nikujibu kiungwanq kabisa.
Sio Kila mtu unaemuona humu anaipinga USA ukadhani ni muislam.

Pili Russia haikukimbizwa na watalaban,aliekimbizwa ni USA..

Tatu Urusi aliposema yoyote atakae ingilia atampa kipigo ambacho hakijawahi kutokea alikua anamaanisha nchi yoyote itakayojiingiza kijeshi moja kwa moja kama vile NATO walivyoingiza majeshi yao Yugoslavia kuisaidia Kosovo kwa kuipiga Serbia,ama NATO walivyoingiza majeshi yao kuisaidia Kuwait kwa kuipiga Iraq,ama kuingiza majeshi ya NATO kuwasaidia waasi wa Libya.
Hapa Putin alimanisha kuingiza majeshi moja kwa moja.
Na ndio maana utaona hakuna hata nchi moja katika Dunia hii imeingiza jeshi lake rasmi kupigana bega kwa bega na Ukraine zaidi ya kutoa misaada TU.
Kutoa misaada kunainyima Urusi uhalali wa kushambulia moja kwa moja katika nchi mtoa msaada.
Achillia mbali nchi marafiki wa Ukraine kugoma kuingia kijeshi kuisaidia Bali hata kuweka no fly zone TU pia zimeogopa,kudungua makombora ya Urusi tu zimeogopam
Kwa hiyo onyo la Urusi limeheshimiwa.
Kumbuka huko Libya NATO waliweka no fly zone,juzi huko Israel NATO waliisaidia Israel kudungua make ya Iran,kwa Nini wasifanye hivyo kwa Ukraine?
Onyo la Putin limewaogopesha.

Nne kwa Nini mrusi hakupata taarifa mapema?
Unajua mambo mengine ya kidiplomasia hua ni Siri?
Sio Kila kitu tutatangaziwa,labda walishapeana taarifa Mimi na wewe hatujui.
Ila Sasa ni rasmi kua kumbe kulikua Kuna mazungumzo ya Siri Assad aachie ngazi kwa amani kuepusha msaada.
Je ni nani alomshauri kufanya hivyo?
Mimi na wewe hatujui.
Ila soma kipande hiki pengine utapata mwanga.


Putin personally approved Assad’s asylum – Kremlin

Such decisions cannot be made without the head of state; it is his decision.”

Mikhail Ulyanov, a senior Russian diplomat, confirmed earlier Monday that Assad and his family were in Moscow, saying this reflected Russia’s commitment to its allies in challenging times. “Russia does not betray its friends in difficult situations… unlike the US,” Ulyanov stated.


On Sunday, Russian media reported that Assad and his family had been granted asylum in Russia “on humanitarian grounds.” According to the Russian Foreign Ministry, Assad agreed to step down following negotiations with armed opposition groups and instructed officials to ensure a “peaceful transfer of power.”
 
Nina wasiwasi na ufahamu wako aisee nilitaman kusoma hz pumba zako zote bt nlipoona umeandka eti russia hakuwahi kmbzwa afghanstan nikagundua sina haja ya kusoma hayo mengne maana hata hujui ktu jtahd ukasome aliyewaweka taliban madarakan ni nani kabla ya mapgano ya after september 11 ksha uje hapa
 
Fear of CIA. Putin akajipange. Biden aliwahi sema wakitaka Putin achitame ni secunde. Wamemuonyesha kwa Assad just stay tune Putn atazima
 
Huu uzi Waislamu watabisha sana!
 
Israel anaelewanaje na huyu aliyepindua?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…