Hata mimi huwa najiuliza russia alikmbzwaje na wataliban lakn huwa nashangaa putin wkt anaingza jeshi ukraine alitangaza kbs yeyote atakayethubutu msaidia ukraine atapewa kpgo cha karne ajabu marekan na ulaya wanamsaidia na hajathubutu kurusha hata guluneti hapo ulaya khs marekan kavzia urusi yuko busy na ukraine hzo ni mbnu za kvita unapga kwny udhaifu kama russia ni mbabe si angepata taarifa mapema na akawataarifu syria kabla waasi hawajaingia hapo shda ya makobaz dini imewamaliza akili huyo urusi na mahawala zake wote wangekuwa wanamuweza marekani leo hii kusingekuwa na israel wa taiwan isingekuwa inaisumbua china haya mengne ni ujinga wa dini yenu na mungu wenu mnayempgania hakuna kngne
Naomba nikujibu kiungwanq kabisa.
Sio Kila mtu unaemuona humu anaipinga USA ukadhani ni muislam.
Pili Russia haikukimbizwa na watalaban,aliekimbizwa ni USA..
Tatu Urusi aliposema yoyote atakae ingilia atampa kipigo ambacho hakijawahi kutokea alikua anamaanisha nchi yoyote itakayojiingiza kijeshi moja kwa moja kama vile NATO walivyoingiza majeshi yao Yugoslavia kuisaidia Kosovo kwa kuipiga Serbia,ama NATO walivyoingiza majeshi yao kuisaidia Kuwait kwa kuipiga Iraq,ama kuingiza majeshi ya NATO kuwasaidia waasi wa Libya.
Hapa Putin alimanisha kuingiza majeshi moja kwa moja.
Na ndio maana utaona hakuna hata nchi moja katika Dunia hii imeingiza jeshi lake rasmi kupigana bega kwa bega na Ukraine zaidi ya kutoa misaada TU.
Kutoa misaada kunainyima Urusi uhalali wa kushambulia moja kwa moja katika nchi mtoa msaada.
Achillia mbali nchi marafiki wa Ukraine kugoma kuingia kijeshi kuisaidia Bali hata kuweka no fly zone TU pia zimeogopa,kudungua makombora ya Urusi tu zimeogopam
Kwa hiyo onyo la Urusi limeheshimiwa.
Kumbuka huko Libya NATO waliweka no fly zone,juzi huko Israel NATO waliisaidia Israel kudungua make ya Iran,kwa Nini wasifanye hivyo kwa Ukraine?
Onyo la Putin limewaogopesha.
Nne kwa Nini mrusi hakupata taarifa mapema?
Unajua mambo mengine ya kidiplomasia hua ni Siri?
Sio Kila kitu tutatangaziwa,labda walishapeana taarifa Mimi na wewe hatujui.
Ila Sasa ni rasmi kua kumbe kulikua Kuna mazungumzo ya Siri Assad aachie ngazi kwa amani kuepusha msaada.
Je ni nani alomshauri kufanya hivyo?
Mimi na wewe hatujui.
Ila soma kipande hiki pengine utapata mwanga.
Putin personally approved Assad’s asylum – Kremlin
Such decisions cannot be made without the head of state; it is his decision.”
Mikhail Ulyanov, a senior Russian diplomat, confirmed earlier Monday that Assad and his family were in Moscow, saying this reflected Russia’s commitment to its allies in challenging times. “Russia does not betray its friends in difficult situations… unlike the US,” Ulyanov stated.
On Sunday, Russian media reported that Assad and his family had been granted asylum in Russia “on humanitarian grounds.” According to the Russian Foreign Ministry, Assad agreed to step down following negotiations with armed opposition groups and instructed officials to ensure a “peaceful transfer of power.”