USA yasema haijaidhinisha Safari ya Anasa ya Rais Rutto nchini Marekani!

USA yasema haijaidhinisha Safari ya Anasa ya Rais Rutto nchini Marekani!

Serikali ya Marekani yasema haijaidhinisha safari ya Anasa ya Rais Rutto nchini humo

Msemaji wa Marekani mh Andrew amesema " kwa kweli Marekani haijalipia ndege ya kukodi ya Rutto kwenda Marekani "

Source Mwananchi

My take; Kumbe Ziara za Marais wetu huwa zinagharamiwa na nchi Wenyeji Chadema mpunguze uzushi [emoji23][emoji23]
Tumia Akili Acha ujinga
 
  • Thanks
Reactions: Tui
hivi maraisi wa afrika kwa nini wakifa USA wanaenda kukutana na wasanii wa kule tofauti na wenzetu wakija hapa wanakutana na watu wakubwa na sio wasanii
 
Ukimtoa Rais wa Zanzibar na yule Captain wa Bokinafaso hawa wengine ni hasara tupu kwa Africa wapo kuchuma na kula anasa kwa pesa za wananchi wao.
Wa Zanzibar ni kama Makonda... shughuli zao nyingi wanazifanyia kwenye maeneo Yao ya Kazi... safari zao nyingi ni either waende Dom, Dar au Arusha...nje ya nchi labda itokee tuu manake ile ni Kaz ya Mama.
 
Zambia
 
Back
Top Bottom