USA yasema haijaidhinisha Safari ya Anasa ya Rais Rutto nchini Marekani!

Tumia Akili Acha ujinga
 
Reactions: Tui
hivi maraisi wa afrika kwa nini wakifa USA wanaenda kukutana na wasanii wa kule tofauti na wenzetu wakija hapa wanakutana na watu wakubwa na sio wasanii
 
Ukimtoa Rais wa Zanzibar na yule Captain wa Bokinafaso hawa wengine ni hasara tupu kwa Africa wapo kuchuma na kula anasa kwa pesa za wananchi wao.
Wa Zanzibar ni kama Makonda... shughuli zao nyingi wanazifanyia kwenye maeneo Yao ya Kazi... safari zao nyingi ni either waende Dom, Dar au Arusha...nje ya nchi labda itokee tuu manake ile ni Kaz ya Mama.
 
Zambia
 
My take; Kumbe Ziara za Marais wetu huwa zinagharamiwa na nchi Wenyeji Chadema mpunguze uzushi πŸ˜‚πŸ˜‚
uje uolewe na chadema utulie, kila sekunde chadema, chadema, chadema, chadema, chadema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…