USA yatoa maelfu ya mabomu yatakayotumika kufumua Rafah

USA yatoa maelfu ya mabomu yatakayotumika kufumua Rafah

Waarabu waungane na palestina jamani
Imetosha sasa huu uonevu
 
Juzi USA ilikataa kupiga kura UN , magaidi wa HAMAS wakashangilia wakajua Israel inakwenda kuisha, Putin akaongeza silaha kwa hamas, syria na lebanon wakshusha silaha kwa Hamas, sasa marekani kaleta funua funua!
Leo Easter Sunday Israel imemalizana na magaidi ya kiislamu ya HAMAS huko AL Shifa hospital, wameachiwa vifusi.
 
USA, hawezi kuruhusu Israel ishindwe Vita, Israel inahitajika mashariki ya Kati ili ku balance ushawishi wa Iran na mfumo wake wa political islam, Shiite Muslim ideology, kikwazo kwa Iran kusambsza ushawishi wake kupitia proxy non state groups, ni uwepo wa Israel yenye nguvu!
Israel ikitoka mashariki ya Kati, Iran itaziburuza nchi zote za suni Muslim, na Sunni wanalijua sana hili, wanaona Bora wapate ulinzi wa mkristo USA! Kuliko kuburuzwa na shia Muslim Iran, hapo wapo radhi Palestine apigwe tu
 
Back
Top Bottom