MTZ 255Dar
JF-Expert Member
- Sep 25, 2018
- 1,149
- 3,963
Netanyahu anakwambia huu mtifuano utaendelea mpaka mwishoni mwa mwaka huu.Ila kwasasa kwa kweli Israel adhabu aliyotoa inatosha.
Wamarekani ni Waisraeli.USA ni manafiki sana aisee!
Ndio mkuuWamarekani ni Waisraeli.
Leo Easter Sunday Israel imemalizana na magaidi ya kiislamu ya HAMAS huko AL Shifa hospital, wameachiwa vifusi.Juzi USA ilikataa kupiga kura UN , magaidi wa HAMAS wakashangilia wakajua Israel inakwenda kuisha, Putin akaongeza silaha kwa hamas, syria na lebanon wakshusha silaha kwa Hamas, sasa marekani kaleta funua funua!