Kishimbe wa Kishimbe
JF-Expert Member
- Jul 18, 2013
- 5,566
- 5,477
... Biden. Obama, Clinton walikuwa wafadhili wa Rwanda! ... SASA TRUMP!Tamko limechelewa sana, tatzio ninini?
... Biden. Obama, Clinton walikuwa wafadhili wa Rwanda! ... SASA TRUMP!
HawaweziUndumilakuwili huu. Kwanini wasivamie military bases za Rwanda kwa Airstrikes?
Wanatakiwa wavae gwanda, wapiganie nchi yao.
Hizo picha ni Bukavu na sio Kinshasa.
Ukiona hivyo ujue DRC Govt washakubaliana na masharti ya bwana mkubwa US .. mfano kuwapa exclusivity kampuni za US kwenye machimbo ya Colbat.. nimesema mfano sina uhakika .. maanaAjabu unaweza kukuta alietoa tamko ndie mfadhiri
Kama nk kweli hawa mabeberu wanamaanisha basi baada ya siku chache tutasikia M23 imeamua kuondoka Goma kwa hiyari Ili kupisha mazungumzo ya amani.Kwa kuwa amesema kubwa la wakubwa huenda this time around Wakapata amani ya kudumu.
----
Marekani imehimiza Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa siku ya Jumanne kuzingatia kuchukua hatua za kukomesha vikosi vya Rwanda na waasi vya M23 kuingia Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo huku mzozo huo ukiendelea kuongezeka.
Kaimu Balozi wa Marekani kwa UN Dorothy Shea hakuelezea kwa Baraza la Wanachama 15 ni hatua gani inaweza kuchukuliwa.
Lakini Baraza hilo lina mamlaka ya kuweka vikwazo.
"Tunataka kusitisha na kumaliza mapigano haraka iwezekanavyo. Rwanda lazima iondoe wanajeshi wake DRC. Rwanda na DRC lazima warudi kwenye meza ya mazungumzo na kushirikiana katika kupatikana kwa suluhisho endelevu na la amani," Shea aliiambia Baraza la Usalama.
Waasi wa M23 wanaoungwa mkono na Rwanda waliandamana hadi Goma, mji mkubwa zaidi mashariki mwa Kongo, siku ya Jumatatu katika hali mbaya zaidi ya mzozo uliodumu kwa muda mrefu katika zaidi ya muongo mmoja.
Kongo iliishutumu Rwanda kwa kutuma wanajeshi wake mpakani, huku Rwanda ikisema mapigano karibu na mpaka yanatishia usalama wake, bila kuzungumzia moja kwa moja iwapo wanajeshi wake wako nchini Kongo.
Katika Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa, Waziri wa Mambo ya Nje wa Kongo Therese Kayikwamba Wagner alitaka vikwazo kuwekwa dhidi ya viongozi wa kijeshi na kisiasa wa Rwanda, kuwekewa vikwazo vya silaha, kupigwa marufuku kwa ununuzi wa maliasili za Rwanda na kuzuiwa kwa wanajeshi wa Rwanda kutoka kwa ujumbe wa kulinda amani wa Umoja wa Mataifa.
Chanzo: BBC
Pia soma
- Ni wakati muafaka sasa kwa Rwanda kuwekewa vikwazo ili kumaliza vita ya mashariki ya DRC
Amesanda 👇👇
View: https://www.instagram.com/p/DFacNcURuiI/?igsh=cjl3Mjgxc2kxZGoy
Na jamaa lakini sijui ni mnafikiAjabu unaweza kukuta alietoa tamko ndie mfadhiri
Ni Rwanda ndio inasitisha au Marekani ndio waache kupandiki. Vita? Mbona wanajificha?Kwa kuwa amesema kubwa la wakubwa huenda this time around Wakapata amani ya kudumu.
----
Marekani imehimiza Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa siku ya Jumanne kuzingatia kuchukua hatua za kukomesha vikosi vya Rwanda na waasi vya M23 kuingia Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo huku mzozo huo ukiendelea kuongezeka.
Kaimu Balozi wa Marekani kwa UN Dorothy Shea hakuelezea kwa Baraza la Wanachama 15 ni hatua gani inaweza kuchukuliwa.
Lakini Baraza hilo lina mamlaka ya kuweka vikwazo.
"Tunataka kusitisha na kumaliza mapigano haraka iwezekanavyo. Rwanda lazima iondoe wanajeshi wake DRC. Rwanda na DRC lazima warudi kwenye meza ya mazungumzo na kushirikiana katika kupatikana kwa suluhisho endelevu na la amani," Shea aliiambia Baraza la Usalama.
Waasi wa M23 wanaoungwa mkono na Rwanda waliandamana hadi Goma, mji mkubwa zaidi mashariki mwa Kongo, siku ya Jumatatu katika hali mbaya zaidi ya mzozo uliodumu kwa muda mrefu katika zaidi ya muongo mmoja.
Kongo iliishutumu Rwanda kwa kutuma wanajeshi wake mpakani, huku Rwanda ikisema mapigano karibu na mpaka yanatishia usalama wake, bila kuzungumzia moja kwa moja iwapo wanajeshi wake wako nchini Kongo.
Katika Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa, Waziri wa Mambo ya Nje wa Kongo Therese Kayikwamba Wagner alitaka vikwazo kuwekwa dhidi ya viongozi wa kijeshi na kisiasa wa Rwanda, kuwekewa vikwazo vya silaha, kupigwa marufuku kwa ununuzi wa maliasili za Rwanda na kuzuiwa kwa wanajeshi wa Rwanda kutoka kwa ujumbe wa kulinda amani wa Umoja wa Mataifa.
Chanzo: BBC
Pia soma
- Ni wakati muafaka sasa kwa Rwanda kuwekewa vikwazo ili kumaliza vita ya mashariki ya DRC
Amesanda 👇👇
View: https://www.instagram.com/p/DFacNcURuiI/?igsh=cjl3Mjgxc2kxZGoy
Kama Lissu tuTrump kanyokaaaa haswaa
Chama ndio kilipiga mapanga na risasi Wajumbe na mawakala uchagizi wa kitaa mwaka jana?kuna chama kinataka kutugawa hapa nchini kwa kuingozaingiza maneno kwa wananchi wajifunze vita si nzuri amani ilindwe kwa gharama yoyote,nampongeza mweshimiwa mama yetu kipenzi kwa kuisimamia amani ya taifa letu..maendeleo yanaletwa pakiwa na amani
Iko wazi kuwa M23 ndio Rwanda.Na jamaa lakini sijui ni mnafiki View attachment 3217786