USA yatoa onyo kwa Rwanda, yasema itakabiliwa na vikwazo isipokomesha Vita. Yamtaka Kagame kuondoa Majeshi yake Goma/Mashariki ya DRC

Congo ni likubwa jinga ndo maana lina ogopa kuvamia Rwanda huo ndo utakua mwisho wao maana Rwanda ataingia full Forces kitu ambacho kubwa jinga haliwezi battle nao ,
 
Ajabu unaweza kukuta alietoa tamko ndie mfadhiri
Ukiona hivyo ujue DRC Govt washakubaliana na masharti ya bwana mkubwa US .. mfano kuwapa exclusivity kampuni za US kwenye machimbo ya Colbat.. nimesema mfano sina uhakika .. maana

yaani rwanda aanambiwa haya rudi nyumban naye anasema sawa mkuu

Hivi inawezekanaje umoja wa Afrika tushindwe kulimaliza hili kwa kumwekea vikwazo rwanda had US aje atoe amri
 
Kwa kuwa amesema kubwa la wakubwa huenda this time around Wakapata amani ya kudumu.

----
Marekani imehimiza Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa siku ya Jumanne kuzingatia kuchukua hatua za kukomesha vikosi vya Rwanda na waasi vya M23 kuingia Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo huku mzozo huo ukiendelea kuongezeka.

Kaimu Balozi wa Marekani kwa UN Dorothy Shea hakuelezea kwa Baraza la Wanachama 15 ni hatua gani inaweza kuchukuliwa.

Lakini Baraza hilo lina mamlaka ya kuweka vikwazo.

"Tunataka kusitisha na kumaliza mapigano haraka iwezekanavyo. Rwanda lazima iondoe wanajeshi wake DRC. Rwanda na DRC lazima warudi kwenye meza ya mazungumzo na kushirikiana katika kupatikana kwa suluhisho endelevu na la amani," Shea aliiambia Baraza la Usalama.

Waasi wa M23 wanaoungwa mkono na Rwanda waliandamana hadi Goma, mji mkubwa zaidi mashariki mwa Kongo, siku ya Jumatatu katika hali mbaya zaidi ya mzozo uliodumu kwa muda mrefu katika zaidi ya muongo mmoja.

Kongo iliishutumu Rwanda kwa kutuma wanajeshi wake mpakani, huku Rwanda ikisema mapigano karibu na mpaka yanatishia usalama wake, bila kuzungumzia moja kwa moja iwapo wanajeshi wake wako nchini Kongo.

Katika Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa, Waziri wa Mambo ya Nje wa Kongo Therese Kayikwamba Wagner alitaka vikwazo kuwekwa dhidi ya viongozi wa kijeshi na kisiasa wa Rwanda, kuwekewa vikwazo vya silaha, kupigwa marufuku kwa ununuzi wa maliasili za Rwanda na kuzuiwa kwa wanajeshi wa Rwanda kutoka kwa ujumbe wa kulinda amani wa Umoja wa Mataifa.

Chanzo: BBC

Pia soma
- Ni wakati muafaka sasa kwa Rwanda kuwekewa vikwazo ili kumaliza vita ya mashariki ya DRC

Amesanda 👇👇

View: https://www.instagram.com/p/DFacNcURuiI/?igsh=cjl3Mjgxc2kxZGoy

Kama nk kweli hawa mabeberu wanamaanisha basi baada ya siku chache tutasikia M23 imeamua kuondoka Goma kwa hiyari Ili kupisha mazungumzo ya amani.
 
Ajabu unaweza kukuta alietoa tamko ndie mfadhiri
Na jamaa lakini sijui ni mnafiki
1738166632244.jpg
 
kuna chama kinataka kutugawa hapa nchini kwa kuingozaingiza maneno kwa wananchi wajifunze vita si nzuri amani ilindwe kwa gharama yoyote,nampongeza mweshimiwa mama yetu kipenzi kwa kuisimamia amani ya taifa letu..maendeleo yanaletwa pakiwa na amani
 
Kwa kuwa amesema kubwa la wakubwa huenda this time around Wakapata amani ya kudumu.

----
Marekani imehimiza Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa siku ya Jumanne kuzingatia kuchukua hatua za kukomesha vikosi vya Rwanda na waasi vya M23 kuingia Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo huku mzozo huo ukiendelea kuongezeka.

Kaimu Balozi wa Marekani kwa UN Dorothy Shea hakuelezea kwa Baraza la Wanachama 15 ni hatua gani inaweza kuchukuliwa.

Lakini Baraza hilo lina mamlaka ya kuweka vikwazo.

"Tunataka kusitisha na kumaliza mapigano haraka iwezekanavyo. Rwanda lazima iondoe wanajeshi wake DRC. Rwanda na DRC lazima warudi kwenye meza ya mazungumzo na kushirikiana katika kupatikana kwa suluhisho endelevu na la amani," Shea aliiambia Baraza la Usalama.

Waasi wa M23 wanaoungwa mkono na Rwanda waliandamana hadi Goma, mji mkubwa zaidi mashariki mwa Kongo, siku ya Jumatatu katika hali mbaya zaidi ya mzozo uliodumu kwa muda mrefu katika zaidi ya muongo mmoja.

Kongo iliishutumu Rwanda kwa kutuma wanajeshi wake mpakani, huku Rwanda ikisema mapigano karibu na mpaka yanatishia usalama wake, bila kuzungumzia moja kwa moja iwapo wanajeshi wake wako nchini Kongo.

Katika Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa, Waziri wa Mambo ya Nje wa Kongo Therese Kayikwamba Wagner alitaka vikwazo kuwekwa dhidi ya viongozi wa kijeshi na kisiasa wa Rwanda, kuwekewa vikwazo vya silaha, kupigwa marufuku kwa ununuzi wa maliasili za Rwanda na kuzuiwa kwa wanajeshi wa Rwanda kutoka kwa ujumbe wa kulinda amani wa Umoja wa Mataifa.

Chanzo: BBC

Pia soma
- Ni wakati muafaka sasa kwa Rwanda kuwekewa vikwazo ili kumaliza vita ya mashariki ya DRC

Amesanda 👇👇

View: https://www.instagram.com/p/DFacNcURuiI/?igsh=cjl3Mjgxc2kxZGoy

Ni Rwanda ndio inasitisha au Marekani ndio waache kupandiki. Vita? Mbona wanajificha?
 
kuna chama kinataka kutugawa hapa nchini kwa kuingozaingiza maneno kwa wananchi wajifunze vita si nzuri amani ilindwe kwa gharama yoyote,nampongeza mweshimiwa mama yetu kipenzi kwa kuisimamia amani ya taifa letu..maendeleo yanaletwa pakiwa na amani
Chama ndio kilipiga mapanga na risasi Wajumbe na mawakala uchagizi wa kitaa mwaka jana?
 
Hivyo vita vimejaa siasa na porojo tu.
 
Back
Top Bottom