USA yatoa onyo kwa Rwanda, yasema itakabiliwa na vikwazo isipokomesha Vita. Yamtaka Kagame kuondoa Majeshi yake Goma/Mashariki ya DRC

Hawa washenzi hawaaminiki. Si ndiyo hao hao waliomuua Lumumba na ambao wamekuwa wakiifilisi DRC na kugharimia vita na wizi wa madini ambao Rwanda na Uganda zimekuwa zikifanya na kuwauzia hawa hawa. Wanafiki wa kiwango cha lami.
 
Asipokuwa makini watamuondoa
 
Wanajeshi wa Kagame kabisa HawaπŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
Your browser is not able to display this video.
 
Mungu awe na jeshi letu wafanikishe lengo la wao kuwa DRC na warudi salama nyumbani
Zipo taarifa kwamba Wanajeshi wote wa kulinda amani kutoka kwa nchi za SADC pia wametekwa na Waasi wa M23.
Uwelewa wako ni mdogo kuhusu walinzi wa amani na kinachoendelea hapo goma Congo DRC.

Haiwezekani kuliteka jeshi lote la umoja wa mataifa hiko kitakuwa ni kituko na uchizi.
 
Wampige chini ameshindwa kazi πŸ‘‡πŸ‘‡

View: https://www.instagram.com/p/DFanQe8Pjs7/?igsh=MTloeDVpdzY2NWY1Zg==
 
Vikwazo vya US havimtishi yoyote yule.
Tanzania katika kumuadabisha Kagame ni afadhali kuliko USA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…