Nadhani ni tatizo la mazingira yetu..Kutokana na ufinyu wa nafasi za kutupa pedi wanawake wengi huifadhi pedi zao mpaka watakapomaliza and then huzitupa mahali husika.... na wakati mwingine husahau kuzipeleka mahali husika.Ila kama ingekuwa inawezekana kuzitupakila jioni hali kama hii isingejitokeza labda kwa wale wenye vyoo vya shimo.