FirstLady1
JF-Expert Member
- Jul 29, 2009
- 16,789
- 5,401
...Mkeo mchafu sana, uwe makini na chakula anachokupikia.
hahahah Pretty usemayo yana ukweli kabisa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
...Mkeo mchafu sana, uwe makini na chakula anachokupikia.
hahahah Pretty usemayo yana ukweli kabisa
Nadhani ni tatizo la mazingira yetu..Kutokana na ufinyu wa nafasi za kutupa pedi wanawake wengi huifadhi pedi zao mpaka watakapomaliza and then huzitupa mahali husika.... na wakati mwingine husahau kuzipeleka mahali husika.Ila kama ingekuwa inawezekana kuzitupakila jioni hali kama hii isingejitokeza labda kwa wale wenye vyoo vya shimo.