bilengeh
Senior Member
- Mar 31, 2017
- 135
- 86
- Thread starter
- #21
Ndugu yangu umesahau ukweli unaumahahahahah haya mambo mnaongea kama utani ila yapo. alafu wahusika hawapendi ambiwa, nakumbuka mtu mmoja alinichukia baada ya kumwamba k yake ya baridi
mpaka leo mahusiano ya manati sana.
Sent using Jamii Forums mobile app