Ukizuia watu kunywa ni sawa na kuwaambia brewery walipe kodi kidogo.Kufungua bar saa kumi na kufunga saa tano kamili usiku pia Yana punguza mapato!
Maana hapo hapo unataka mmiliki wa bar alipie leseni ya vinywaji,leseni ya afya,leseni ya biashara,bado hajalipa mishahara,umeme,maji etc
Kuna biashara hapo
Ova