kavulata
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 13,778
- 14,214
Nani ana takwimu za kiasi gani cha mapato kilipotea kwa maduka na biashara kufunguliwa saa 4 asubuhi kila Jumamosi Dar es Salaam kwa miaka 2?
Nini adhali za kiuchumi kwa wafanyabiashara wakubwa Dar kuchanganyishwa kwenye utekelezaji na ufanikishaji wa shughuli za kimaendeleo Dar?
Nini adhali za kiuchumi kwa wafanyabiashara wakubwa Dar kuchanganyishwa kwenye utekelezaji na ufanikishaji wa shughuli za kimaendeleo Dar?