Sigma
JF-Expert Member
- Feb 26, 2011
- 5,006
- 1,255
halali mtu njaaNa ana mke huyu! Kazi kwelikweli.
na uvinza anafika
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
halali mtu njaaNa ana mke huyu! Kazi kwelikweli.
Girlfriend...!!!?gf wangu anatizo hilo nashindwa kumueleza naogopa kum torture psychologically
Pigia mstari masagwaMkuu na wewe domo linanuka?
tufundishe basi,mbona umekuj tu na maelezo ya awali kama unauza bidhaa za wachina wenye mabasi mkuu, mwaga vitu basi!
Mkuu hili tatizo limekuwa kubwa tupe elimu basi.
Mkuu hili tatizo limekuwa kubwa kwa watanzania wengi tunashukuru kumbe tatizo ni kutosafisha kwa dakika tano.
Tupe solution umetoa kasoro bila ya kutoa the way out!
Pigia mstari masagwa
Asante kwa tahadhari.Matusi sa ya nini , kesho nitakutukana sana we sigma! I promise!
Bon appetitkaniharibia chai yangu huyu!
Kama ofisini hamko wawili, yani sio wewe na yeye tu,...Kuna moja ninaye ofisini nashindwa jinsi ya kumueleza kwakweli.
Minutes doesn't matter reallyMkuu hili tatizo limekuwa kubwa kwa watanzania wengi tunashukuru kumbe tatizo ni kutosafisha kwa dakika tano.
kama harufu ya kinywa haiishi licha ya kuwa kinywa ni kisafi....sasa nini kifanyike kukaribiana na hiyo harufu ya kinywa?
Kwa wavuta fegi iyo inaweza kuwa chanzo.Tupe solution umetoa kasoro bila ya kutoa the way out!
kama harufu ya kinywa haiishi licha ya kuwa kinywa ni kisafi....
meno, ulimi, hard palate(rarely the cause of harufu coz iko slippery)
Basi the most likely cause inaweza kuwa tumboni.
Hapo wataalamu wana kaugonjwa kanaitwa Gastroesophageal reflux disease (contents za tumbo zinarudi kwenye esophagus(kimezeo=sijui kiswahili chake), na kuachia gesi inatoka nje
Gesi yenye harufu inatoka tumboni kupitia kinywani and when you talk tobaaaaaaaaaa, balaaaaaaaaaaaa!!!!!!!!
Asante kwa tahadhari.
Sitakupa iyo nafasi.
yani nitakuwa mwema kesho kwenye posti zangu...... Statoa nafasi ya mtu kufikiria chochote kibaya dhidi yangu
Kwanza sitaingia jukwaa la siasa kesho, bcoz kule utajikuta tu uko upande flani.
Na kwa taarifa yako CHUAKACHARA lazima utagonga like kwenye posti zangu... tupinge?
Maandalizi mema ya matusi CHUAKACHARA
Acha roho mbaya CHUAKACHARA, gonga tu!Roho Mtakatifu amenikataza. kanitokea kwenye ndoto. Nimeacha. Kazi njema!
ni miezi mitatu tu isee.Habari zenu wadau, wengi wetu tumekua tukitumia mswaki mmoja mda mrefu kwa ajili ya mazoea tuliyojiwekea! Kwa wenye ufahamu wa vinywa naomba kufahamu yafuatayo:
-Je kuna mda maalum wa kikomo kutumia mswaki? ama unatakiwa kuutumia mpaka brashi za kusugulia zinapolala ndipo unabadilisha?
-Madukani kuna miswaki ya aina mbili , yenye brashi ngumu na yenye brashi laini , hapo ni aina gani inafaa kwa matumizi ya kusafisha meno bila kuleta matatizo?