Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 301,577
- 754,412
Kuna wengi hawajui umuhimu wa kucha kwenye mapenzi hasa kipindi cha kuamsha popo! Hivyo basi huziachia tu na uchafu wake au na marangi ya ajabu ajabu.
Kucha zinaleta msisimko na hamu hasa zinapokuwa safi ndefu kiasi na zilizotengenezwa vizuri ,lakini zisiwe zile za bandia,
Kwa wanaojua kuzitumia vizuri huwapagawisha mno wenza wao hivyo basi ni budi kuzitunza na kuziweka vizuri muda wote ila angalia unazotumiaje usije mkwaruza au kumuumiza mwenza wako mnapopagawa.
Kucha zinahitaji usafi wa kila siku na kila wakati kucha chafu zinatia kichefuchefu na kuondoa kabisa hamu