Usafi wa kucha na urembo huongeza ladha ya mapenzi

Usafi wa kucha na urembo huongeza ladha ya mapenzi

nakuunga mkono mkuu,mara nyingi huwa awasafishi vizuri papuchi zao,

Sio hilo tu kuna kufua kupika nk nk !ndo maana unakuta kitu hakijafanyika sawasawa
 
Mimi binafsi sipendi mwanamke mwenye mikucha mireeefu..sijui huwa anajiswafi vipi!

Hujambo? Hivi kule kwa kukesha tunaanza lini tena lol mie miss sana

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Sio hilo tu kuna kufua kupika nk nk !ndo maana unakuta kitu hakijafanyika sawasawa

Wasiwasi wako tu... em fanya research ya wasichana wenye kucha ndefu... wapo wasafi sana... uchafu ni tabia ya mtu hata kucha zake zikiwa zimeng'olewa mabwe pande, kama mchafu basi atakua mchafu tu...
 
Back
Top Bottom