Kuna wengi hawajui
umuhimu wa kucha kwenye mapenzi hasa kipindi cha kuamsha popo! Hivyo
basi huziachia tu na uchafu wake au na marangi ya ajabu ajabu.
Kucha zinaleta msisimko na hamu hasa zinapokuwa safi ndefu kiasi na
zilizotengenezwa vizuri ,lakini zisiwe zile za bandia,
Kwa wanaojua kuzitumia vizuri huwapagawisha mno wenza wao hivyo basi ni
budi kuzitunza na kuziweka vizuri muda wote ila angalia unazotumiaje
usije mkwaruza au kumuumiza mwenza wako mnapopagawa.
Kucha zinahitaji usafi wa kila siku na kila wakati kucha chafu zinatia
kichefuchefu na kuondoa kabisa hamu