Duuu naamini humaanishi...!!!
Wale wasiofanya kazi makwao ndo utawakuta na mikucha hiyo...lakini kama mwanamke mchapa kazi kucha zinakatika kila siku
Shanty kimaro hizo ni original kabisa !
Hamna kucha hapa vidole vimekomaa kama fundi mwashi.
Hamna kucha hapa vidole vimekomaa kama fundi mwashi.
Leomimi umeniandama na kucha zangu Asante.
Mimi binafsi sipendi mwanamke mwenye mikucha mireeefu..sijui huwa anajiswafi vipi!
Mimi binafsi sipendi mwanamke mwenye mikucha mireeefu..sijui huwa anajiswafi vipi!
Sio hilo tu kuna kufua kupika nk nk !ndo maana unakuta kitu hakijafanyika sawasawa