Usafi Wa Mavazi

Price

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2014
Posts
1,502
Reaction score
920
Jamani nguo za ndani ni muhimu sana. Kwa mdada unapaswa kuwa safi muda wote usifikiri kwamba hakuna atakaye kuja kuona ndani umevaa nini, ya dunia mengi ipo siku usiyojua unaweza ukaumwa ghafla ukasaidiwa na watu wengine ndipo utaona aibu.

Shame on you mnaovaa pichu hadi zinachanika lakini bado tu unaivaa, skin tight hadi inachakaa bado tu unayo, blazia hadi unaishona shona bado tu unayo.

Kwa Wakaka, unavaa Vest siku nne had wiki, yani vest chafu, boxer ndo usiseme. Jamani tujipende ya Mungu mengi huwez kujua lini utaanguka. Leso ni kitambaa kidogo sana lakini ni muhimu mno, tujifunze kutembea na kutumia Leso jamani.

Aibu, mdada umevaa vizuri huna leso, jasho wajifuta kwa mkono.
 
Do people like that exist humu JF? Sidhani, nafikiri ungetoa hiyo kwenye audience nyingine.
 
Sebulen party.....m bado navaa pichu sio boxer..so apo sihusiki lol
 
mmmh!sasa weweeee,umeshindwa kumvalisha yule wa kwa aunt humu utaweza kweli!!
 
kwani kushona kilicho chanika ni kosa!ikiachia uzi unairudishia si mbaya aiss!
 
vipi kwa wale wasiovaa kabsa pichu hasa madada?
 
Do people like that exist humu JF? Sidhani, nafikiri ungetoa hiyo kwenye audience nyingine.
..they exist coz hii ni jamii kama zingine! Tena usiseme kabisa, wapo sana tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…