Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwahiyo kutembea ndio kunakufanya usivae? bado hujanishawishi..... kwahiyo endapo suruali itaanguka?
Yeah ni muhimu kuwa na nguo za ndani za kutosha
Jamani nguo za ndani ni muhimu sana. Kwa mdada unapaswa kuwa safi muda wote usifikiri kwamba hakuna atakaye kuja kuona ndani umevaa nini, ya dunia mengi ipo siku usiyojua unaweza ukaumwa ghafla ukasaidiwa na watu wengine ndipo utaona aibu.
Shame on you mnaovaa pichu hadi zinachanika lakini bado tu unaivaa, skin tight hadi inachakaa bado tu unayo, blazia hadi unaishona shona bado tu unayo.
Kwa Wakaka, unavaa Vest siku nne had wiki, yani vest chafu, boxer ndo usiseme. Jamani tujipende ya Mungu mengi huwez kujua lini utaanguka. Leso ni kitambaa kidogo sana lakini ni muhimu mno, tujifunze kutembea na kutumia Leso jamani.
Aibu, mdada umevaa vizuri huna leso, jasho wajifuta kwa mkono.
Ndiyo..... kasoro ninapokuwa bafuni
Hujielewi
yeah ni kweli.... pia socks ni muhimu kuwa safi na nzuri.... sio ilimrad socks na hata Leso pia