Xi Jinping
JF-Expert Member
- Jun 14, 2023
- 9,548
- 28,817
Kwa hiyo waendelee kulishana mavi?Uwezo wa shatafu hawana, tishu ni gharama, maji ni bure.
Ukianza ukifikiria process ya uandaaji wa chakula unaweza ukaacha kula na kuanza kufunga swaumu mpaka upate muda wa kupika mwenyeweWacha tukubaliane mavi hayaui ili tuendelee kula kwa amani
Hapana chifuWe unatumia nini gunzi la hindi au?
Mimi huwa najaribu kila siku nashindwahii africa bana, mfano mzuri angalia zile chips za kitaa! tamu balaa,, zinaoshwa mara moja tu,, wewe nyumbani mara tatu na haziwi kama zile 😁,,
weka namba uokote
Wacha tukubaliane mavi hayaui ili tuendelee kula kwa amani
Mpish katoka toilet halafu anakuja kukata kata nyanyaHapana mkuu hii kitu inatia kinyaa sana. Kila nikifikiria nakosa amani
Unatakiwa kujisafisha hata ukienda haja ndogo ,kingine inategemea na maumbile kwa sana na mazingira kwa ujumla ..Kuugua magonjwa kama typhoid ni aibu .Hapana chifu
Unakuta mmama au dada wa nyumbani ambaye ndiye mpishi wa familia akienda chooni anajisafisha kwa njia hiyo hivi kweli mna uhakika huwa hawawalishi kinyesi walaji?
Ifikie wakati huu utamaduni wa kuchamba kwa kushika shika kinyesi Watanzania waachane nao. Unatia kinyaa sana.