Xi Jinping
JF-Expert Member
- Jun 14, 2023
- 9,548
- 28,817
- Thread starter
-
- #21
Mpish katoka toilet halafu anakuja kukata kata nyanya
Wewe ushawahi kuyaona hayo mavi kwenye chakula?? Au mtu katoka nayo chooni kaja nayo jikoni??Kwa hiyo waendelee kulishana mavi?
Yaani labda kwenye ma vyoo ya maofisi wakiweka sabuni na sanitizer watu hukumbuka ila SIO vyoo vya majumbani na vya kulipia stand huko nomaHii kitu nikifikiriaga na vike nyanya zinatoa mchuzi mchuzi nikifikira na yeye aliyashika shika mavi nasema leo tunalishwa michuzi ya mavi
Unatakiwa kujisafisha hata ukienda haja ndogo ,kingine inategemea na maumbile kwa sana na mazingira kwa ujumla ..Kuugua magonjwa kama typhoid ni aibu .
Bi mkubwa punguza hasira hajanywa chai hana uwakika uhoWe Koma tena ukomae, hayo mavi unakula wewe siyo wa Tanzania, jiheshimu mwana haramu usokuwa na staha.
Ukitaka kuepuka hili usile njianiHapana mkuu hii kitu inatia kinyaa sana. Kila nikifikiria nakosa amani
Sema chakula kikiwa cha moto vizuri sikionei kinyaaUkianza ukifikiria process ya uandaaji wa chakula unaweza ukaacha kula na kuanza kufunga swaumu mpaka upate muda wa kupika mwenyewe
Kweli.. Hpa Tanzania watoto wanaumwa kila siku kwa sababu wanakuwa kwenye mazingira machafu .Kuugua Typhoid au kipindupindu ni tafsiri ya kwamba mtu kala mavi aibu sana
Muhimu ni kunawa kwa sabuni tu.Uzuri ni kutumia kwanza karatasi kupangusa vizuri then unamalizia na maji......si vyema kushika kinyesi direct na mkono......
Yaani inabidi ujikaze tuSema chakula kikiwa cha moto vizuri sikionei kinyaa
Kutawaza na toilet paper pekeyake au tissue bila maji siwezi kabisa najiona bado nina mavi mkunduniHapana mkuu hii kitu inatia kinyaa sana. Kila nikifikiria nakosa amani
Hivi wakuu hili suala la kwenda haja kubwa, halafu wakati wa kuchamba mtu anashika shika mavi ili kujiosha mnalionaje?
Ukweli ni kwamba wengi wamelishwa mavi. Huwezi kusema wote hujisafisha mikono vizuri na maji ya kutosha na sabuni au ikiwa wote hunawa na sabuni.
Na wengine hujisafisha na maji ya ndoo ya chooni au kopo la chooni linalotumiwa na wengi. Tena utakuta ni maji kidogo sekunde 2 tu mtu kashamaliza kunawa anarudi jikoni au kwenye mgahawa anaendelea kuaanda chakula au kupakulia chakula wateja wake. Hivi kweli kuna usafi unazingatiwa hapo?
Unakuta mmama au dada wa nyumbani ambaye ndiye mpishi wa familia akienda chooni anajisafisha kwa njia hiyo hivi kweli mna uhakika huwa hawawalishi kinyesi walaji?
Ifikie wakati huu utamaduni wa kuchamba kwa kushika shika kinyesi Watanzania waachane nao. Unatia kinyaa sana.
Au anakata nyama ya kuchoma, au ya supu, au ya mtori ambayo tayari imeiva kwa kuishika na mkono wa kushoto/kuchamba chooni 😁Mpish katoka toilet halafu anakuja kukata kata nyanya
Kwanini kashfa hii mmeamua KUWAPA watanzania pekee au kwa kuwa tunaishi nao...me sidhani kama nchi za Africa zinatofautiana sana na za Asia naona mambo ndo hayohayo tuNdio maana ni muhimu sana kunawa kwa sabuni kila mara ila Watanzania wengi huwa hata hawanawi kwa sabuni!
Yaani labda kwenye ma vyoo ya maofisi wakiweka sabuni na sanitizer watu hukumbuka ila SIO vyoo vya majumbani na vya kulipia stand huko noma