Gojaga Nize
JF-Expert Member
- Jul 1, 2015
- 3,177
- 2,549
Kweli.. Hpa Tanzania watoto wanaumwa kila siku kwa sababu wanakuwa kwenye mazingira machafu .
Kuna kwa sabuni kwenye tundu ya haja au mikono ndugu....??Muhimu ni kunawa kwa sabuni tu.
Hili ni janga la taifa. Na chimbuko lake ni uarabuni wenyewe wakiita kutawaza. Likaletwa kwetu, watu wa pwani wakalidaka, na sasa limeenea karibu nchi nzima. Kila choo unakuta ina ndoo moja, yenye maji na kopo kwa pembeni. Inatumika masaa 24, huku maji yakiongezwa bila kuoshwa wala kuosha kopo kwa kisingizo eti, hivi ni vifaa vya chooni, lazima viwe vichafu. Na mbaya zaidi hakuna sabuni na sinki la kunawa. Kinyesi hakiondoki kwa kunawa na maji tu, mtu anatoka na uchafu, anashika vitasa na kupeana mikono au kupika. Wanaume tuna nyongeza: unachupuka popote kujisaidia haja ndogo, unashika ''tango'' kwa vidole, (pengine umetoka kutifua), ukisogea mbele unampa mtu mkono kumsalimia, au unanunua mhindi unakata, kumpa mwenzako...Hivi wakuu hili suala la kwenda haja kubwa, halafu wakati wa kuchamba mtu anashika shika mavi ili kujiosha mnalionaje?
Ukweli ni kwamba wengi wamelishwa mavi. Huwezi kusema wote hujisafisha mikono vizuri na maji ya kutosha na sabuni au ikiwa wote hunawa na sabuni.
Na wengine hujisafisha na maji ya ndoo ya chooni au kopo la chooni linalotumiwa na wengi. Tena utakuta ni maji kidogo sekunde 2 tu mtu kashamaliza kunawa anarudi jikoni au kwenye mgahawa anaendelea kuaanda chakula au kupakulia chakula wateja wake. Hivi kweli kuna usafi unazingatiwa hapo?
Unakuta mmama au dada wa nyumbani ambaye ndiye mpishi wa familia akienda chooni anajisafisha kwa njia hiyo hivi kweli mna uhakika huwa hawawalishi kinyesi walaji?
Ifikie wakati huu utamaduni wa kuchamba kwa kushika shika kinyesi Watanzania waachane nao. Unatia kinyaa sana.
Sijawalinganisha na nchi nyingine, nimezungumzia uhalisia. Wewe ukiwa sehemu yoyote kinapouzwa chakula kama hotelini, mghawani, bar au kwa mama mtilie siku moja jaribu kuangalia ni watu wangapi watanawa mikono kwa sabuni kabla ya kula kwa mikono.Kwanini kashfa hii mmeamua KUWAPA watanzania pekee au kwa kuwa tunaishi nao...me sidhani kama nchi za Africa zinatofautiana sana na za Asia naona mambo ndo hayohayo tu
Binafsi choo cha ugenini kinanipa ugumu sana kukitumia labda kiwe na mazingira mazuri zaidi ya kwangu ila vinginevyo siendiSina uhakika Kama kuna watu wana akili vizuri;
Yaaani munaamini tissue zaidi kuliko maji?
Tissue inaacha traces za kinyesi huko nyuma halafu ndio inakuwa nini. Hili halina ubishi hata utumie tissue Zima. Cha msingi tumia tissue Kama uko safari au sehemu ya emergency saaaana.
Unakutana na mtu au umekaa na mtu sehemu ananuka kabisa kinyesi.
Weka ndoo ya maji chooni kwako na sabuni, tawaza vizuri na sabuni na maji ya kutosha:
Pia kinachonishangazaga, inakuwaje mtu unakuwa huna ratiba ya kwenda chooni? Yaaani wewe popote tu na muda wowote unaenda chooni? Huko ni kukosa discipline yako mwenyewe.
Mwili wa binadamu unauwezo wa kuadapt mazingira, jicondition kwamba utaenda chooni ukiwa nyumbani kwako tu, unless uwe unaumwa tumbo tena kwa emergency hapo sawa.
Kunawa kwa sabuni kabla ya kula na kuandaa chakula.Kuna kwa sabuni kwenye tundu ya haja au mikono ndugu....??
Tumia mkono na chooni kwako kusikosekane delto izo tushu sizo kabisaKuna kwa sabuni kwenye tundu ya haja au mikono ndugu....??
Muhimu ni kunawa kwa sabuni tu.
Ya mtu mwingine sio yako. Hata uwe msafi unajuaje wengine wanaoshika vitasa kama wananawa vizuri?Kuugua Typhoid au kipindupindu ni tafsiri ya kwamba mtu kala mavi aibu sana
Hili ni janga la taifa. Na chimbuko lake ni uarabuni wenyewe wakiita kutawaza. Likaletwa kwetu, watu wa pwani wakalidaka, na sasa limeenea karibu nchi nzima. Kila choo unakuta ina ndoo moja, yenye maji na kopo kwa pembeni. Inatumika masaa 24, huku maji yakiongezwa bila kuoshwa wala kuosha kopo kwa kisingizo eti, hivi ni vifaa vya chooni, lazima viwe vichafu. Na mbaya zaidi hakuna sabuni na sinki la kunawa. Kinyesi hakiondoki kwa kunawa na maji tu, mtu anatoka na uchafu, anashika vitasa na kupeana mikono au kupika. Wanaume tuna nyongeza: unachupuka popote kujisaidia haja ndogo, unashika ''tango'' kwa vidole, (pengine umetoka kutifua), ukisogea mbele unampa mtu mkono kumsalimia, au unanunua mhindi unakata, kumpa mwenzako...
Usafi muhimu kipindupindu, typhoid, kuharisha havina urafiki na usafiYa mtu mwingine sio yako. Hata uwe msafi unajuaje wengine wanaoshika vitasa kama wananawa vizuri?
Sahihi, ila elimu ya sayansi kimu iliyokuwa inafundisha watoto wa shule mambo ya msingi kama haya ya usafi ya namna sahihi ya kunawa/kusafisha mikono vizuri iliondolewa shuleni muda mrefu sana kwa hiyo watu wengi ni vilaza kabisa katika kusafisha mikono, wanafikiri ukinawa kwa kupaka maji tu mikono tayari umeisafisha.Ni sawa ila ishu inakuja unawaji wenyewe wa wadau
Tumaji ananyunyuzia hasafishi vizuri sehemu yote iliyoshika mavi wakati wa kuchamba
Mkono wa kuklia ameshika ule mkopo wa chooni halafu kapakaza tusabuni mkono wa kushoto ananyunyuzia tumaji
Usitegemee mavi yote yatakuwa yametoka kwenye mkono anakuwa kama amepangusa tu
Inataka mtu anawe vizuri sana wengi wanapakazapakaza tu kama ushahidi
Sio lazima ukila mavi uugue typhoid au kipindupindu, ni mpaka hayo mavi yawe na vimelea vya hayo magonjwa.Mungu tu ndo anasaidia, wengine hawanawi hata kwa kutumia sabuni wanajisuuza tu na maji then kama ni mtu wa mapishi anaendelea na kazi zake
Mungu tu ndo anasaidia, wengine hawanawi hata kwa kutumia sabuni wanajisuuza tu na maji then kama ni mtu wa mapishi anaendelea na kazi zake
Mimi kama nilipanda usafiri wa umma nikifika nyumbani nanawa kwa sabuni kwa kuwa sijui aliyeshika niliposhika alikuwa ameshika nini. Lakini hakuna kula hovyo mtaani vitu kama karanga na matunda. Hotel kubwa kuna sabuni nzuri za kunawia shida ni kwenye chakula kitamu kwa mama lishe.Usafi muhimu kipindupindu, typhoid, kuharisha havina urafiki na usafi