Usafi wa mikono baada ya kutoka haja

Wewe waona mavi tu. Niliona mdada wa kazi sehemu kwenye biashara ya chakula anapenga kamasi kwa mkono bila kitambaa halafu anaendelea kusonga ugali bila wasiwasi. Kamasi na kinyesi kipi bora?
Hamna kilicho na afadhali mkuu, au wewe unaonaje?​
 
MI NADHANI WEWE UNGEJIITA KIPINDUPINDU,Bora tu uendelee kuwa unaosifika CHINA.Mada nyingine ngumu kwako.
 
Na bado anakuyekupa kipande cha hindi aliweka kidole mdomoni kutoa mahindi nyuma ya meno na kulamba tena πŸ˜‚
 
Pressure ya kutosha kabisa.
Huwa zinasafisha vizuri sana kuliko hata maji ya kopo na mkono, sasa sijui changmoto yako iko wapi? Nahisi umezoea kuchamba kwa maji ya kopo na mikono​
 
Huwa zinasafisha vizuri sana kuliko hata maji ya kopo na mkono, sasa sijui changmoto yako iko wapi? Nahisi umezoea kuchamba kwa maji ya kopo na mikono​
LabdaπŸ˜…. Nitaendelea tu na huu ushamba kwa kweli. Sihitaji kubadilika
 
Usafi wa mpishi ni jambo zito sana, ni uaminifu pia kwa wateja wako, usipokuwa msafi wewe basi jua unawadhuru walaji na biashara yako. Kuna walaji pia hawajali kabisa hata kuwe kuchafu kwa mama lishe au mgahawani jua nao ni shida huko wanapoishi.

Makumbusho niliwahi mwambia mkaanga chips pale hakuwa na na kunijibu πŸ˜…πŸ˜…
Ila pia baadhi mahoteli makubwa kule ndani ukienda unaweza lia kwa mbaali maana 3 or 5 star inafunika funika kidogo πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…