Usafi wa mwili

Naoga kwa matukio, 1.siku za sleepover. 2.valentine. 3.siku nikijisikia tu

Otherwise Mwanaume unaoga ili iweje, mwanaume ni kuamka asubuhi unanawa uso na kusepa unless unanuka😊
 
Naoga kwa matukio, 1.siku za sleepover. 2.valentine. 3.siku nikijisikia tu

Otherwise Mwanaume unaoga ili iweje, mwanaume ni kuamka asubuhi unanawa uso na kusepa unless unanuka😊
Uchafu uho kaka
 
Embu ise hapa wengine hawajui

Mswaki ubadili kila baada ya miezi mitatu ,atleast dakika 5 kupiga mswaki kwa asubuhi na kila unapotoka kula ni kusafisha kuondoa mabaki na before kulala.

Kuoga asubuhi after kuamka na usiku before kulala ,hapa kati ni option.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…