Usafiri 5000/= per day kutoka kwako mpaka kazini kwako na kukurudisha

Usafiri 5000/= per day kutoka kwako mpaka kazini kwako na kukurudisha

kwa maana hiyo ni kwamba endapo nitakubali ina maana kuwa kwenye gari nitakuwa peke Yang au na abiria wengine???

unapenda u boss yaani kama unaendeshwa watakukomaje mtaani unaletwa na kurudishwa
 
km 3 mbona kiduchu. watu wanatembea 5-10 km hadi kituo cha mabasi.
 
hawa jamaa jana walitangaza kazi mkawatimua hahaha ,,....jf stress remover, mkuu hamna route ya masaki aisee...hebu fikirieni huko nako kuna shida sana ya usafiri
 
Umelazimishwa kufanyia wahindi kazi sea clif? kukaa ukae chanika. Raha gani ya kazi hapo.kila siku unaamka saa 10 alfajili! Sasa unataka uwasumbue wenzio wanaotaka kuwekeza, huo ni wivu uchwara tuache sisi tunaoamka asb kuwahi kariakoo kununua bidhaa za magengeni mwetu tujaze nafasi kwenye Noah, wee ng'ang'ana na waajiri wako

Hujafanya vema... Don't put yourself first....!!
 
Utaratibu: Kuna fomu nitakutumia wewe unayehitaji huduma baada ya kuijaza hasa kwenye kipengele cha mahali unapofanyia kazi na muda wa kuripoti kazini; vile vile kipengele cha muda wa kutoka kazini. hii itaturahisishia kuelewa tukufuate muda gani nyumbani na kazini. Wale wa kibanda ni route ya Mbezi; wale wa Sinza mko route ya Mwenge, wale wa chamazi itategemea na idadi yenu kama mtafikia wanne mtawekwa route ya mbagala.
 
Please kama uko tayari nitumie message (PM), ni e-mail, au unaweza kunipigia kama wengine wanavyofanya. Fanya mapema ili nijue nakuweka route ipi. Na hata kama una wanao wanafunzi na unaishi sehemu ambayo sijaitaja tunaweza wasiliana nikaangalia jinsi ya kukupatia gari dogo.
 
Mmmmmmhmn hii imekaaje sasa? So malipo ni kwa siku au kwa mwezi.
 
Back
Top Bottom