Usafiri Dodoma

Usafiri Dodoma

koyola

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2015
Posts
2,645
Reaction score
1,748
Sarikali ijiandae kuanzisha usafiri wa uma ili kuondoa usumbufu kwa wananchi na wafanyakazi hii itakuja saidia sana huko mbeleni
Tuchangie kuanzia na njia zipi
 
1.jamatini-kiterera via vyeyula
2.majengo-Nala via b.road,nkuhungu,mbwanga
 
Back
Top Bottom