Usafiri; KIBAHA-POSTA

Usafiri; KIBAHA-POSTA

Dear_me_

Member
Joined
Dec 31, 2022
Posts
36
Reaction score
79
Habari za Muda huu wakuu Naombeni order zenu

Ninatoa huduma za usafiri kwa wafanyakazi na wanafunzi kila siku za kazi asubuhi:
Kwa Wafanyakazi kutokea :
• Kibaha - Posta: Tsh 28,000/trip
• Mbezi - Posta: Tsh 25,000/trip
• Kibaha - Makumbusho: Tsh 25,000 /trip
• Mbezi - Makumbusho: Tsh 20,000/trip

Kwa watoto waendao shule pia upo
gharama ni zile zile
IMG_7843.jpeg

Usafiri unafanyika kutoka

📍nyumbani hadi ofisini/shule.
Gari ni Toyota Voxy yenye viti 8. Huduma ni binafsi (mtu mmoja) au kwa kikundi cha watu/wafanyakazi, ambapo bei inaweza kubadilika kulingana na makubaliano na mteja.
IMG_7844.jpeg

Kwa maelezo zaidi au kufanya booking, tafadhali wasiliana nami kupitia namba: +255 624 212 463.

IMG_7846.jpeg

IMG_7845.jpeg
 
Hakuna kituo maalum?
Kwahiyo mfano ukinipakia mimi wa bonyokwa, mwingine anaishi mbagala naye tunamfata?
Hapo sasa si kupoteza muda kila mtu ukimfata nyumbani kwake.!!
 
Hmna simaanishi ivyo kma umekodi wewe mtu mmoja basi ni huyo huyo
 
Back
Top Bottom