CrescentTz
Member
- Aug 2, 2019
- 5
- 0
Naomba kuelekezwa jinsi ya kufika kisiwa cha Comoro ukiachana na usafiri wa angani(Ndege)
Nimekucheki PMNaomba kuelekezwa jinsi ya kufika kisiwa cha comoro ukiachana na usafir wa angan(Ndege)
Mkuu kama ni kuhusu Comoro si vibaya uka share na wadau wengine wajue, ila kama ni mambo binafsi basi kheriNimekucheki PM
Kuna jamaa anafanya biashara ya kusafirisha vitu huko comoro, hutumia meli badala ya ndege sababu husafirisha mizigo mingi.Mkuu kama ni kuhusu Comoro si vibaya uka share na wadau wengine wajue, ila kama ni mambo binafsi basi kheri
Usafiri wa kwenda Comoro kama ni tofauti na ndege mkuu inabidi uende mpaka Mtwara, kule ukifika nenda mpaka maeneo ya Pwani utakuta kuna mashua ambazo huwa zinabeba bidhaa mbali mbali kwenda Comoro. Ila jiandae kisaikolojia maana utatumia siku tatu hadi nne kupita deep-sea mpaka ufike. Kwa taarifa fupi tu ukiweza kufika fursa ni nyingi sana mkuu. Nakutakia kila la heri.Naomba kuelekezwa jinsi ya kufika kisiwa cha comoro ukiachana na usafir wa angan(Ndege)
Kuna jamaa anafanya biashara ya kusafirisha vitu huko comoro, hutumia meli badala ya ndege sababu husafirisha mizigo mingi.
Nilichofanya ni kumpatia mleta mada number ya huyo jamaa. Ampigie tu hata amuulize usafiri wa meli ukoje, tiketi wanakatia wapi, nauli kiasi gani, wanakaa majini siku ngapi, etc.
Isingekua sahihi kuiweka number ya mtu hadharani. Maana hiyo number inaweza kutumika ndivyo sivyo mimi nikawa ndio sababu.
Usafiri wa kwenda comoro kama ni tofauti na ndege mkuu inabidi uende mpka Mtwara, kule ukifika nenda mpka maeneo ya pwani utakuta kuna mashua ambazo huwa zinabeba bidhaa mbali mbali kwenda Comoro. Ila jiandae kisaikolojia maana utatumia siku tatu hadi nne kupita deep-sea mpka ufike. Kwa taarifa fupi tu ukiweza kufika fursa ni nyingi sana mkuu. Nakutakia kila la heri.
Mkuu umesomeka vilivyo. Natumai mleta mada akiwasiliana na jamaa ataleta mrejeshoKuna jamaa anafanya biashara ya kusafirisha vitu huko comoro, hutumia meli badala ya ndege sababu husafirisha mizigo mingi.
Nilichofanya ni kumpatia mleta mada number ya huyo jamaa. Ampigie tu hata amuulize usafiri wa meli ukoje, tiketi wanakatia wapi, nauli kiasi gani, wanakaa majini siku ngapi, etc.
Isingekua sahihi kuiweka number ya mtu hadharani. Maana hiyo number inaweza kutumika ndivyo sivyo mimi nikawa ndio sababu.
Mkuu ni vyema ungemjuza hapa ili na wengine tufaidike na jibu lako.Nimekucheki PM
Nimempa tu Number ya jamaa anaefanya hizo biashara za Kule, wala sio kwamba mie nafahamu Mkuu. Sasa haikuwa poa kuweka number hapa hadharani.Mkuu ni vyema ungemjuza hapa ili na wengine tufaidike na jibu lako.
Ungejibu tu kua huelewi isipokua una mtu mwenye kujua namna ya kufika huko na mhitaji kama atataka namba ya huyo mtu basi aje inbox, kusema tu mara moja kwamba njoo huku inaleta harufu ya utapeli ambayo watu wote tutaona hivyo.Kuna jamaa anafanya biashara ya kusafirisha vitu huko comoro, hutumia meli badala ya ndege sababu husafirisha mizigo mingi.
Nilichofanya ni kumpatia mleta mada number ya huyo jamaa. Ampigie tu hata amuulize usafiri wa meli ukoje, tiketi wanakatia wapi, nauli kiasi gani, wanakaa majini siku ngapi, etc.
Isingekua sahihi kuiweka number ya mtu hadharani. Maana hiyo number inaweza kutumika ndivyo sivyo mimi nikawa ndio sababu.
Sio issue Sana,Ungejibu tu kua huelewi isipokua una mtu mwenye kujua namna ya kufika huko na mhitaji kama atataka namba ya huyo mtu basi aje inbox,kusema tu mala moja kwamba njoo huku inaleta harufu ya utapeli ambayo watu wote tutaona hivyo
Hahaha duh mashua si mchezo aisee, miaka ya nyuma kidogo nilienda Zanzibar kwa boti ya flying horse nilihisi kufa kufa. Mashua piga ua siendi afu siku tatu no way aiseeUsafiri wa kwenda comoro kama ni tofauti na ndege mkuu inabidi uende mpka Mtwara, kule ukifika nenda mpka maeneo ya pwani utakuta kuna mashua ambazo huwa zinabeba bidhaa mbali mbali kwenda Comoro. Ila jiandae kisaikolojia maana utatumia siku tatu hadi nne kupita deep-sea mpka ufike. Kwa taarifa fupi tu ukiweza kufika fursa ni nyingi sana mkuu. Nakutakia kila la heri.
Mashua iko vipi?Hahaha duh mashua si mchezo aisee, miaka ya nyuma kidogo nilienda zanzibar kwa boti ya flying horse nilihisi kufa kufa. mashua piga ua siendi af siku tatu no way aisee