Usafiri kwendaTurkana kaskazini mwa Kenya umeathirika baada ya daraja kuvunjika

Donatila

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2014
Posts
7,772
Reaction score
22,598

Usafiri kwenda Turkana Kaskazini mwa Kenya umeathirika baada ya daraja kuvunjika eneo la Kainuk kutokana na mvua kubwa, linasema shirika la msalaba mwekundu nchini humo.
 
Hawana wizara ya ujenzi kwani mpaka msalaba mwekundu ndo waseme. Wapambane na hali hao, huo ni msimu wa mvua wa kufukua uozo wa ujenzi mbovu.
 
Pole yao,mvua zikizidi sana lazima kunakuwa na mambo kama haya..
 
Vipi hili lililokata usafiri wote wa kutoka Dar kwenda mikoani, mlilifanyia kazi kabla kukimbilia la Turkana, Kenya.

 
Tukiweka list ya substandard structures Kenya vs Tanzania msikimbie!
 
Mna structures gani nyinyi...Hahahaha.
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…