Usafiri mtandaoni

Usafiri mtandaoni

John lubango

New Member
Joined
Nov 29, 2022
Posts
1
Reaction score
1
Jamaniiiii eh

Nina plan ya kuanzisha usafiri mtandaoni ambapo kutakuwa na App ambayo mteja ataingia na kuchagua au kupata dereva.

Mfano kama wanavyo fanya ping
Utaratibu huwa upoje
 
😂😂😂😂😂 Eti Founder anauliza utaratibu upoje

Nikwambiw tu ukweli Hio Niche huiwezi unless uwe na at least Billion 100...Bodaboda hawezi kukaa kwenye App haina wateja na wateja hawawezi kuka kwenye App haina madereva ku-balance hio Supply n Demand waulize UBER wamechoma pesa kihasi gani
 
Achana na huu mchongo huuwezi na huna hela ya kuanzisha kitu kama hiki. Huna offer za maana huna hata unalojua utaumia tu.

Fanya kitu unachokijua au unachokipenda na kama unakipenda bas kipato kiwe juu zaidi kuliko mapenzi yako
 
Jibu jepesi kabisa ninalokupa ni kuwa HUNA AKILI. Kama unaona nimekutukana basi nisamehe, fanya hiyo ufirisike uuze mbogamboga.

Kwa jinsi unavyouliza utaratibu ni kwamba hata initiation stage tu huiwezi, hata kuitisha meeting ya kwanza huwezi. Developer huwa ana idea na uelewa na idea yake ndio ushirikisha wadau mbalimbali kama wadhamini na wataalamu wengine. Tena hao watu wabishi ndio anatakiwa kuwatoa kwenye kutoamini hadi kwenye kuamini, sasa wewe mwenyewe huelewi sembuse kumuelewesha mtu aweke pesa zake.
 
Back
Top Bottom