Jibu jepesi kabisa ninalokupa ni kuwa HUNA AKILI. Kama unaona nimekutukana basi nisamehe, fanya hiyo ufirisike uuze mbogamboga.
Kwa jinsi unavyouliza utaratibu ni kwamba hata initiation stage tu huiwezi, hata kuitisha meeting ya kwanza huwezi. Developer huwa ana idea na uelewa na idea yake ndio ushirikisha wadau mbalimbali kama wadhamini na wataalamu wengine. Tena hao watu wabishi ndio anatakiwa kuwatoa kwenye kutoamini hadi kwenye kuamini, sasa wewe mwenyewe huelewi sembuse kumuelewesha mtu aweke pesa zake.