Baba wa Mapaka
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 1,827
- 1,655
Mkuu uyo mkeo aliesema anaa cheo gani kwenye huo mradi wa mwendokasi?Wanajamvi
Mke wangu yuko kariakoo Gerezani hapa anasema leo mwendokasi watu wanapanda bure
Yajayo yanafurahisha
Abiria tu kama wewe mkuuMkuu uyo mkeo aliesema anaa cheo gani kwenye huo mradi wa mwendokasi?
Kwahiyo mkeo kasemaAbiria tu kama wewe mkuu
Mkuu ulisoma eng course,? na kama ulisoma na kingereza chenyewe ndo hv je usingesema,hapo sasa watanzania tunavyopenda vya bure ngoja niende kituoni nichukue mwendokasi hadi kivukoni without primary because{bila sababu za msingi}
nimemlipia mimi mkuu wala usijariWanajamvi
Mke wangu yuko kariakoo Gerezani hapa anasema leo mwendokasi watu wanapanda bure
Yajayo yanafurahisha
Hapana sio hivyo we TADPOLE a.k.a NDUBWI, inatakiwe iwe hivi....bila sababu ya msingi(without reason of primary)hapo sasa watanzania tunavyopenda vya bure ngoja niende kituoni nichukue mwendokasi hadi kivukoni without primary because{bila sababu za msingi}
[emoji23][emoji23] naona harufu ya kuchapiwa hapakwaja[emoji16][emoji23][emoji23]